Uwanja wa Simulizi

Uwanja wa Simulizi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uwanja wa Simulizi, Publisher, Kibondo.

PICHA YA WIKI ....Vijana wa kigoma wamaliza tofauti zao na kuna jambo kubwa linakuja soon..Je Unapenda waimbe nyimbo moj...
22/07/2026

PICHA YA WIKI ....
Vijana wa kigoma wamaliza tofauti zao na kuna jambo kubwa linakuja soon..
Je Unapenda waimbe nyimbo moja au mbili?
Waambie..


13/03/2026
Kuna mwanamke alikuja getto kwangu kunitembelea, ikabidi nitoke nikamchukulie chochote kitu, mfukoni nilikuwa na buku tu...
16/01/2026

Kuna mwanamke alikuja getto kwangu kunitembelea, ikabidi nitoke nikamchukulie chochote kitu, mfukoni nilikuwa na buku tu ambayo nilikuwa na mpango ndio nitakula mchana, kwa kuogopa aibu nikasema ngoja nimfatie soda ya miasita na biscuit za mia nne, basi nikatoka.
Ile nafika ndani nikampa, akaniuliza wewe mbona hauli? Nikamwambia umekuta ndio nimetoka kula kwa mama ntilie, bado nimeshiba, ila kiukweli nilikuwa na njaa sana.

Akaniambia naomba unisaidie kunifatia vocha hata ya buku nataka niongee na mama, daah moyoni nikajisemea hii sasa ndio balaa, nikatoka k**a naenda dukani halafu nikazunguka nikaenda kukaa mlango wa nyuma kimyaa, k**a baada ya dakika 3 nikarudi, nikamwambia vocha wameishiwa, hawako serious wauzaji wa mtaani hapa, nitakutumia baadae nikienda mjini wala usijali, hilo likapita.

Ikafika muda akawa anaondoka, nimemsindikiza, akaniambia "Ukweli humuweka mtu huru" hilo neno ni dogo lakini lina maana katika maisha.
Nikamwambia sijaelewa labda ufafanue, akasema siwezi kufafanua mi nishamaliza. Basi akaondoka,

Ile narudi home sina hili wala lile, nikaja kukuta 20k chini ya mto wa kulalia, sikuamini macho yangu, maana nilikuwa naenda kulala njaa kabisa, nilishukuru sana Mungu, nikamtafuta kwa simu kumuuliza akasema ni mimi nimeziacha maana nilikuona ulivyozunguka kukaa nyuma ya nyumba. Daah nilipata hisia fulani hivi,
anyway to make a story short huyo mwanamke sijawahi kumpata na naomba Mungu nije nimpate k**a huyo

UMEIPENDA??
COMMENT NA
SHARE NA WENGINE

UNAKUMBUKAA KIZAZI CHETU?Sisi masikini tuliambiwa lazima tutimie kwa pamoja ndo tule....Tuliyatamani yale maisha unaludi...
11/01/2026

UNAKUMBUKAA KIZAZI CHETU?

Sisi masikini tuliambiwa lazima tutimie kwa pamoja ndo tule....

Tuliyatamani yale maisha unaludi nyumbani unakuta msosi kwenye poti unajikatia kipande chako unakula......

Zile school bus sisi tulisikiaga tu ilikuwa tunasubiriana watoto wa mtaa ili tuanze andhaa kanoon mpaka shule......

Nani anataka kizazi chake kiishi kwenye ule msoto wetu nani anyooshe mkono juu.......

Yale maisha tuliyoyapitia yabaki kwetu sio unasema mwanangu lazima apitie mateso k**a mimi ili ajifunze......

Leo kuna wanaume wameleft kisa wameshindwa kuvumilia huo msoto wa kutopata.....

Ukijihisi umechoka angalia kizazi chako kitaishi vipi.....

Wewe pambana mpaka watoto wajivunie wewe ukikaa nao wakiukuuliza mzee ulifanikiwa vipi hadi kuwa hivi.....

Uwe na uhuru wa kuwajibu bila kuhisi hawakuvunjii heshima......

Hivi ndo inavyotakiwa tuwe k**a tunapumua tusikate tamaa kwa ajiri yetu na kizazi chetu pia

Comment na SHARE

Address

Kibondo
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwanja wa Simulizi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category