Mikasa ya Mapenzi na visa vyake

Mikasa ya Mapenzi na visa vyake Mahusiano na changamoto zake

29/10/2025
26/10/2025
26/10/2025

Mpaka Ugundue Gari Sio Langu, Tayari Mimba Ina Miezi Saba

🤣🤣🤣

17/10/2025

darasa

Shamsa ford jana aliandika ujumbe unaosema ipo siku moja kwa yule mtu ulie jitoa kwaajili yake atakujibu sikukulazimisha...
13/10/2025

Shamsa ford jana aliandika ujumbe unaosema ipo siku moja kwa yule mtu ulie jitoa kwaajili yake atakujibu sikukulazimisha kufanya chochote... Udsijitoe sana binadamu hawana kumbukumbu✍️Mrs mlilo

Hapo ikawa ndio mwisho wa ujumbe wake. Richa ya ujumbe huu kuonekana ni ujumbe wa Motisha lakini mlilo ambae ni mume wa shamsa ford alicomment kwa utani kwenye post hiyo

Mlilo aliandika ujumbe unaosema mrembo mambo ❤️ samahani naomba namba yako kama hutojali please 🙏🤩. Shamsa nae alijibu comments kwa utani akisema koma nimeolewa 🤗

Wawili hao licha ya kuwa ni mke na mume ila inaonekana wanaishi kwa furaha sana katika maisha yao ya ndoa

Mamba hau haend sawa na maji na hii ni kwa sababu sehemu yake ya sili kua wazi sana hivyo inamlazimu kupishana na ueleke...
09/10/2025

Mamba hau haend sawa na maji na hii ni kwa sababu sehemu yake ya sili kua wazi sana hivyo inamlazimu kupishana na uelekeo wa maji kuepuka maji hayo kuingia sehemu hio ya sili na ndio kitu kimetokea hap0

Mishangazi yenye hela 😘😋.For you I live, for you I die. Without you near, I feel like I can't breathe; I love you.The co...
08/10/2025

Mishangazi yenye hela 😘😋.

For you I live, for you I die. Without you near, I feel like I can't breathe; I love you.

The couple expressed their love for each other as critics continue to criticise.



@

NILIMUACHIA NYUMBA NZIMA MAMA QAYLLAH_Mwanamuziki /Mwanasiasa Nurdin Bilal maarufu kama [Shetta] ameweka wazi jinsi aliv...
07/10/2025

NILIMUACHIA NYUMBA NZIMA MAMA QAYLLAH
_
Mwanamuziki /Mwanasiasa Nurdin Bilal maarufu kama [Shetta] ameweka wazi jinsi alivyokuwa akiishi na Mama Qayllah baada ya kuachana kwao.

"Ilikuwa ni hatua ngumu sana kwangu ukifikiria ni mwanamke ambaye tumeishi naye miaka tisa na tuna watoto wawili naye, Nakumbuka siku tuliyoachana mimi ndio niondoka nyumbani na mabegi yangu tu niliamua kuacha kila kitu nikaanze maisha Mapya."

"Pia nashukuru sasa tumebaki kama wazazi katika kilea watoto na tumekuwa tukitoka nao Out wakati mwingine lengo ni kufanya watoto wetu wasijisikie vibaya na waone uwepo wa wazazi wote katika kuwalea."- Alifunguka Shetta.

Toa maoni yako_______________________________

06/10/2025

Mke wangu mtarajiwa
popote ulipo kwajinsi
ntakavyokupenda
Sitakuacha ubebe mimba
Wakati dada wakazi yupo.

Gud Nite Donald Mc Chicken!
05/10/2025

Gud Nite Donald Mc Chicken!

Address

Kigamboni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mikasa ya Mapenzi na visa vyake posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share