Emo tv media

Emo tv media Im
c.e.o of

Whatssap +255 678655132 for booking

MATATIZO YA KIFAMILIA, MAJERAHA YAMUWEKA NJE YA UWANJA  MLINDA MLANGO BORA KOMBE LA FA.MLINDA mlango wa Coastal Union, K...
01/01/2023

MATATIZO YA KIFAMILIA, MAJERAHA YAMUWEKA NJE YA UWANJA MLINDA MLANGO BORA KOMBE LA FA.

MLINDA mlango wa Coastal Union, Kinda aliyebeba tuzo ya Kipa Bora wa Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) Mohamed Hussein Mohamed "Muddy Colour" amekuwa nje Kwa kipindi Sasa kutokana na kuandwa na MAJERAHA pamoja na matatizo ya kifamilia.

Muddy Colour ambaye alitwaa Tuzo ya Mlinda Mlango Bora ASFC amekuwa akiandamwa na majeraha pamoja na Kuuguliwa

  amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu  na klabu ya Al NASSR ya Saudi Arabia mwishoni mwa mwaka huu  mkataba utakao ...
21/12/2022

amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu na klabu ya Al NASSR ya Saudi Arabia mwishoni mwa mwaka huu mkataba utakao malizika Juni 2025 ..thamani ya mkataba huo inatajwa kuwa ni euro milioni 200 kwa msimu. Hivyo inaripotiwa kuwa mpaka mkataba kumalizika itakuwa euro milioni 500 , ambayo ni zaidi trioni 1 ,bilioni 238 na milioni 178 za kitanzania
Dili Hilo limetokea baada ya kuvunja mkataba na Manchester United kutokana na makubaliano ya pande zote mbili

Licha ya Brazil kutolewa katika michuano ya kombe la dunia2022 nchini QATAR .  wametoa orodha ya timu Bora kwa mwaka 202...
20/12/2022

Licha ya Brazil kutolewa katika michuano ya kombe la dunia2022 nchini QATAR . wametoa orodha ya timu Bora kwa mwaka 2022 na Brazil ameendelea kuwa kileleni katika orodha hiyoo
https://youtube.com/

Subscribe EMO TV kwa taarifa zaidi https://youtube.com/ akimuomba kwa upendo mtoto anae aliye kuwa akisaidia kuokota mpi...
19/12/2022

Subscribe EMO TV kwa taarifa zaidi
https://youtube.com/
akimuomba kwa upendo mtoto anae aliye kuwa akisaidia kuokota mpira kwenye mechi iliyo pigwa Jana uwanja wa ccm kirumba mwanza Kati ya simbasc na geita gold baada ya sakho kumgonga na mpira kwa bahati mbaya akiwa katika harakati za kuokoa
Simba waliibuka na ushindi wa magoli 5

Baada ya tetesi za fridah kajala na   kuachana hatimae   amethibitisha penzi kuvunjika
08/12/2022

Baada ya tetesi za fridah kajala na kuachana hatimae amethibitisha penzi kuvunjika

24/11/2022

Address

Uzunguni
Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emo tv media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category