UNDA MEDIA Pro.

UNDA MEDIA Pro. Habari kwa wote wakati wote

Simba Sc yatoa thank you kwa Fabrice Ngoma.UNDA MEDIA Pro.
12/07/2025

Simba Sc yatoa thank you kwa Fabrice Ngoma.

UNDA MEDIA Pro.

Boss kasema.Je, kuna mwenye swali ?UNDA MEDIA Pro.
11/07/2025

Boss kasema.

Je, kuna mwenye swali ?

UNDA MEDIA Pro.

βœ… πƒπ¨π§πž πƒπžπšπ₯: Hussein Kazi asaini Namungo FC!  βœοΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Beki huyo wa zamani wa Simba SC amejiunga kwa mkataba wa mwaka mmoja ...
10/07/2025

βœ… πƒπ¨π§πž πƒπžπšπ₯:

Hussein Kazi asaini Namungo FC! βœοΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Beki huyo wa zamani wa Simba SC amejiunga kwa mkataba wa mwaka mmoja kabla ya msimu ujao.

Sura mpya huanza. πŸ”₯

Tufollow UNDA MEDIA Pro.

VALENTINE NOUMA ALAZIMISHA KUONDOKA SIMBAAnataka kupata game time kitu ambacho Fadlu Dvid hawezi kumuhakikishia.Pia anam...
10/07/2025

VALENTINE NOUMA ALAZIMISHA KUONDOKA SIMBA

Anataka kupata game time kitu ambacho Fadlu Dvid hawezi kumuhakikishia.

Pia anamalengo ya kuendelea kuitumikia timu ya taifa ya Bukina faso kitu ambacho anaamini akibaki Simba sc ndoto hiyo itapotea kwa kukosa game time.

Mashabiki wa Simba hapo vp kwa Nouma?

Souce : Micky Jnr African Football Journalist

Tufollow UNDA MEDIA Pro. Kwa update.

Soka letu!Vipaji halisi ndio hivi sasaKigoma !Follow UNDA MEDIA Pro.
06/07/2025

Soka letu!
Vipaji halisi ndio hivi sasa

Kigoma !

Follow UNDA MEDIA Pro.

U*I MPYA : Azam FcWametishaaaa!Follow ; UNDA MEDIA Pro.
06/07/2025

U*I MPYA : Azam Fc

Wametishaaaa!

Follow ; UNDA MEDIA Pro.

TANZIA : Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania  Mbwana Ali Samata amefariki.RIP Mzee wetu Ali SamataPole sana ...
06/07/2025

TANZIA : Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Ali Samata amefariki.

RIP Mzee wetu Ali Samata

Pole sana captain

RASMISio tetesi tena Ibenge ndio kocha wa Azam fc msimu 2025/2026.
05/07/2025

RASMI
Sio tetesi tena Ibenge ndio kocha wa Azam fc msimu 2025/2026.

Stephane Azizi Ki. Kurudi nyuma mwiko ni zaidi ya 90%Ni baada ya wydad kutoridhishwa na kiwango chake.Uwezo mdogo sana a...
04/07/2025

Stephane Azizi Ki. Kurudi nyuma mwiko ni zaidi ya 90%

Ni baada ya wydad kutoridhishwa na kiwango chake.

Uwezo mdogo sana ameonesha kwenye michuano ya kombe la dunia la vilabu.

Follow UNDA MEDIA Pro. Kwa habari za uhakika zilizo chujwa.

Gamondi arudi Nyuma mwiko BKaribu  NBC Premiere League Tanzania
03/07/2025

Gamondi arudi Nyuma mwiko B

Karibu NBC Premiere League Tanzania

KARIA HATAKIWI NA YANGA SCKlabu Bingwa ya soka nchini Yanga SC imemuwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia na pingami...
28/06/2025

KARIA HATAKIWI NA YANGA SC

Klabu Bingwa ya soka nchini Yanga SC imemuwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia na pingamizi hilo limewasilishwa ofisi za TFF saa 9:30 Alasiri ya leo likiwa limesainiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wao (CEO) Andre Ntine.

Yanga SC katika pingamizi lao wanaitaka Kamati ya Uchaguzi chini ya Mwenyekiti wake Wakili Kilomoni Kibamba kumuondoa Karia katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi wakiwa na hoja Kuu 3
1. Matumizi mabaya ya madaraka kwa kuchukua endorsement 46 Kati ya 47

2. Kuanza kampeni kabla ya muda kwa kukusanya endorsement 46 kabla ya tangazo la Uchaguzi kutolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF.

3. Wanapinga Karia kugombea mara ya 3 wakisema ni kinyume na sera ya michezo nchini ambayo inataka vyama vya michezo viongozi wake kukaa madarakani kwa vipindi 3 vya miaka mitatu mitatu au vipindi 2 vya miaka minne minne.

Bin Kazumari imepata taarifa hizi kutoka kwenye chanzo cha uhakika ndani ya Shirikisho na Kamati ya Uchaguzi.

Kutoka kwa ; BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)

TAMBUA!1. Tangu kombe la mshindi wa ligi kuu ya Nbc kubadilishwa,  Simba sc haijawahi kushinda ubingwa hivyo kwenye kaba...
25/06/2025

TAMBUA!

1. Tangu kombe la mshindi wa ligi kuu ya Nbc kubadilishwa, Simba sc haijawahi kushinda ubingwa hivyo kwenye kabati lao hawana kombe hili jipya.

2. Tangu Nbc Bank ianze kuzamini ligi Simba sc haijawai twaa ubingwa huo ( hii ni laana kwakweli ).

3. Tangu Azam Tv walipo anza kudhamini ligi kuu Tanzania bara na kuweka bonasi ya milioni mia tano kwa bingwa Simba sc imeambulia patupu. Na sasa ni msimu wa nne

4. Hadi sasa Yanga sc ndio timu pekee iliojizolea milioni mia tano za Azam kila msimu na kufikisha jumla ya bilioni mbili.

Njia pekee Simba sc kubeba kombe hili ni kwenda kwa Yanga na kuomba kupiga nalo picha.

Mwisho: Pole sana Mnyama kwa kula kwa macho tu.

Address

Kigoma
47512

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UNDA MEDIA Pro. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to UNDA MEDIA Pro.:

Share

Category