23/10/2025
AHADI KWA VIJANA WA BODABODA!
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kakonko atoa ahadi ya kujenga vituo (vimvuli) vya kisasa kwa waendesha bodaboda
Pia ameahidi kushirikiana na mamlaka husika kuhakikisha upatikanaji wa leseni kwa haraka na kwa urahisi zaidi .
Ni wakati wa kuinua sekta ya bodaboda β vijana wafaidike, biashara iende mbele!