30/08/2026
Mzee Jakaya Mrisho Kikwete mbona nimekulewa vizuri kutawala Watu sio kazi nyepesi k**a ya kuchunga mbuzi lazima kuwepo mawazo na fikra mbadala na mapishano. Wewe k**a kiongozi lazima uyaishi mazingira k**a hayo Tanzania ya sasa sio Tanzania ya miaka 60 iliyopita kila jambo unalolifanya liwe zuri au baya wanajua viongozi Badilikeni tujenge Taifa imara na huru. Tusiogope wanaotukosoa bora anakosoa hadharani kuliko ukimya hujui moyoni mwake kunanini.
Tanzania 🇹🇿ni yetu sote 🤝