Radioshinefm

Radioshinefm Utasikia Neno la Mungu kutoka kwa MTUME BULDOZER MWAMPOSA, Shuhuda na Miujiza ya Uponyaji na kufunguliwa.

Habari,na Vipindi Mbalimbali vya kukuelimisha na kukuburudisha.

PEKUA PEKUA "KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO"USIACHE KUFUATILIA KIPINDI CHA GOODMORNING ARISE AND SHINE KILA JUMATATU...
20/11/2024

PEKUA PEKUA "KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO"

USIACHE KUFUATILIA KIPINDI CHA GOODMORNING ARISE AND SHINE KILA JUMATATU HADI IJUMAA SAA MOJA ASUBUHI HADI SAA NNE ASUBUHI

SHINE FM RADIO
MOSHI 95.1
SINGIDA 94.1
IRINGA 99.3
MBEYA 101.3
MOROGORO 104.7

UTAFUNGUKA ULIPOOOO.

KONGOLE TAIFA STARS.Timu ya TAIFA Ya Tanzania "TAIFA STARS" imefuzu AFCON 24-2025 Itakayo Fanyika Nchini Morocco.Goli la...
19/11/2024

KONGOLE TAIFA STARS.

Timu ya TAIFA Ya Tanzania "TAIFA STARS" imefuzu AFCON 24-2025 Itakayo Fanyika Nchini Morocco.

Goli la Simon Msuva ndio limeivusha TAIFA Stars dhidi Ya Guinea.

TANZANIA 1 - GUINEA 0

IMEUBONDA UKAKUBALI KUTII.

UPAKO UTAKUFIKIA POPOTE ULIPO Siku Ya Jumanne Ya Ibada Mtumishi wa Mungu Apostle BULDOZA MWAMPOSA wa Madhabahu ya INUKA ...
19/11/2024

UPAKO UTAKUFIKIA POPOTE ULIPO

Siku Ya Jumanne Ya Ibada Mtumishi wa Mungu Apostle BULDOZA MWAMPOSA wa Madhabahu ya INUKA UANGAZE atakuhudumia POPOTE ULIPO na utafunguliwa na kupokea Uponyaji Katika Jina La YESU KRISTO

FUNGUA SASA HIVI NA MWAMBIE NDUGU AU RAFIKI YAKO.

SHINE FM RADIO IPO LIVE

MOSHI 95.1
SINGIDA 94.1
IRINGA 93.1
MOROGORO 104.7
MBEYA 101.3

KUWA WA KWANZA KUPOKE.

TEMBEA NA UPAKO WA KWELIUngana na Mtume BULDOZA MWAMPOSA SASA.
18/11/2024

TEMBEA NA UPAKO WA KWELI

Ungana na Mtume BULDOZA MWAMPOSA SASA.

MWANZA! MWANZA! MWANZA ! NASEMAJE NASEMAJE NASEMAJE Mko tayar na ujio wa Mtume Boniface bulldozer MWAMPOSA katika Viwanj...
15/07/2023

MWANZA! MWANZA! MWANZA ! NASEMAJE NASEMAJE NASEMAJE Mko tayar na ujio wa Mtume Boniface bulldozer MWAMPOSA katika Viwanja vya Furahisha aisee usipange kukosa.

Kongamano hili litakuwa MUBASHARA kupitia shine fm Radio 📻 95.1 na mitandao ya kijamii tunapatikana kupitia ARISE AND SHINE TANZANIA

Bango linajitosheleza au niongeze sauti...!

15/10/2022
15/10/2022

wa Kenya William Ruto amefichua kuwa yuko tayari kufanya kazi na muungano wa azimio la umoja- linaloongozwa na kiongozi wa upinzani Raila ...

15/10/2022

huyo mkuu wa Iran amesema amehuzunishwa sana na kifo cha msichana Mahsa Amini aliyekuwa na miaka 22 ambaye alifariki akiwa chini ya ul...

17/09/2022

15/09/2022

DARUBINI LIVE ON LIVE MUDA HUU

LEO NI SIKU YA KERO TUAMBIE KERO YAKO HAPA NA KWA SMS STUDIO 0626 794585 NA LIVE STUDIO 0746 274200

TUAMBIE UNAISKILIZA UKIWA WAPI DARUBINI ALHAMISI YA LEO

WEKA MAONI YAKO HAPA NA TUTASOMA MAONI YAKO LIVE .....

HOST: HK & ANDREW

Kamata Mpangilio wa Nyimbo 10 Bora kabisa za Injili leo Aug 27,2022 kupitia Kipindi Bora kabisa Gospel Beat ya   Baada y...
27/08/2022

Kamata Mpangilio wa Nyimbo 10 Bora kabisa za Injili leo Aug 27,2022 kupitia Kipindi Bora kabisa Gospel Beat ya

Baada ya wimbo wake wa Kuna Wakati kukaa kwenye chart kwa zaidi ya majuma mawili sasa imepanda mpaka nafasi ya kwanza.

Ingizo jipya ni Watasubiri ya kwake

Endelea kufuatilia page zetu pia usisahau kusikikiza kilicho bora zaidi masikioni mwako kokote ulipo Kilimanjaro, Mbeya , Iringa ,Shinyanga, Singida na Morogoro.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radioshinefm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radioshinefm:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share