SameFm Radio

SameFm Radio thanks for all fans

Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Kati...
16/06/2024

Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii kushirikiana kuhakikisha watoto wanapata malezi bora yenye maadili mema, na kuhakikisha usalama wa mtoto ni jukumu la jamii nzima na siyo mzazi tu, vilevile kuwapatia elimu na historia za kuwahimiza uzalendo kwa nchi yao tangu wakiwa wadogo.

📸 |

15/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Daud Paulo, Elinahy Damian, Hussien Rajabu

Ni lunch time, ungependa kushushia msosi wako na ngoma gani? Dj manyasi yupo tayari muda huu. Twende kazi bam bam ipo he...
02/10/2023

Ni lunch time, ungependa kushushia msosi wako na ngoma gani? Dj manyasi yupo tayari muda huu. Twende kazi bam bam ipo hewani kwenye spiral za 99.9 SameFm.

02/10/2023

Hey mambo vip unasikiliza show ya bambam ukiwa wapi? #99.9 SameFm ni balaa. Twende kazi.

02/10/2023

Hey mambo vip unasikiliza show ya bambam ukiwa wapi? #99.9 SameFm ni balaa.

02/10/2023

Guys Mambo vipi tujuze ulipo na kipi unatamani tukifanye muda huu.

13/07/2022

Upo same maeneo gani
Drop comment yako hapo chini.

Address

Same
Kilimanjaro

Telephone

0655985443

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SameFm Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category

Je, Same kunani hasa?

Wilaya ya Same inapatikana mkoaani Kilimanjaro, ni mji pekee wenye mishe nyingi sana, na watu wengi hupenda kujituma ktk kazi mbali mbali, huku wengi wao wakijikita zaiidi kwenye ujasilia mali, ni jukumu letu sisi k**a media, kuwatembelea mmoja mmoja, na kujua faida wanazo zipata kulingana na kazi wanazo zifanya, kaa tayari.