Slava Media

Slava Media Hii ni Kwa ajili ya Habari za Michezo, Na habari mbali mbali za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na Burudani kutoka SLAVA FM

05/10/2025

CONFIRMED CAPTAIN JOHN CHARLES 🚨

Imethibitishwa
Jina: John Charles Tesha (J. C. TESHA)
Rank: Captain
Intake No. 58, 2014
Force No. P. 13353

Taarifa za July 22, 2025 zinathibitisha Tesha bado ni “active” (A1)
Ni mkufunzi wa zana za anga za kivita katika shule ya kijeshi ya anga SAK (Airwing) ndani ya Airforce

Tukutane Barabarani Octoba 29.

27/09/2025
03/09/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Tresor Ngoy, Salumu Jafari

Ule mchezo wa kufungua msimu mpya wa mashindano,   utapigwa Septemba 16, mchezo huu unawakutanisha wababe wa Kariakoo Ya...
01/09/2025

Ule mchezo wa kufungua msimu mpya wa mashindano, utapigwa Septemba 16, mchezo huu unawakutanisha wababe wa Kariakoo Yanga SC dhidi ya Simba SC.

Je, Ngao ya Jamii itaenda msimbazi ama Jangwani?

Mechi hii itapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, mal

HT: RAYON 1:2 YANGA
15/08/2025

HT: RAYON 1:2 YANGA

Zamaleki, Wydad Casablanca, Keizer Chiefs na Al Itihad ya Libya zote ziliwahi kutuma ofa ya kuhitaji kumnunua Mzize.Huku...
09/08/2025

Zamaleki, Wydad Casablanca, Keizer Chiefs na Al Itihad ya Libya zote ziliwahi kutuma ofa ya kuhitaji kumnunua Mzize.

Huku Al Masry, Qatar SC, Esperance De Tunis na Al Asad ya Saudi zote zimetuma ofa hivi sasa kwa ajili ya kumnunua Clement Mzize.

Na leo anatuonesha ni kwanini anagombaniwa na vilabu vikubwa vya Africa.🔥🔥🔥

Magoli 2 kwenye net dhidi ya Madagascar, what a player 🔥🔥🔥

  Hii leo utapigwa mchezo wa hatua ya fainali Michuano ya Kombe la Dunia la Klabu majira ya Saa 4:00 Usiku Uwanja wa Met...
13/07/2025

Hii leo utapigwa mchezo wa hatua ya fainali Michuano ya Kombe la Dunia la Klabu majira ya Saa 4:00 Usiku Uwanja wa MetLife huko nchini Marekani kati ya PSG ya Ufaransa dhidi ya Chelsea kutoka England.

Mchezo huu unawakutanisha mabingwa wa Mashindano yaliyopo chini ya UEFA, ambapo PSG wametoka kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Inter Milan huku Chelsea ni bingwa wa UEFA Conference League ambao walitwaa mbele ya Real Betis.

Je, Karata yako unaitupa kwa nani?

02/07/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Judith Jibas, Abdoulaye Camara, Osazuwa Thomas, Faraji Hasani, Kwizer Dan, Ally Hamis, Ayubu Sadick, Jonathan Joshua, Alan Vicky, Paulo Ngassa

Huu moto vipi?
25/06/2025

Huu moto vipi?

Address

Morogoro
Kilosa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Slava Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share