Ipe Tano

Ipe Tano Unaionaje bidhaa/huduma unayotumia? Unaipa moja au tano?

Ati, unatumia dawa gani ya meno kupiga mswaki? Unaipa moja πŸ‘ŠπŸΎ au unaipa tano πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ”₯?Tembelea jukwaa la Ipe Tano, na...
08/08/2025

Ati, unatumia dawa gani ya meno kupiga mswaki? Unaipa moja πŸ‘ŠπŸΎ au unaipa tano πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ”₯?

Tembelea jukwaa la Ipe Tano, na weka maoni yako kwenye kipengele cha USAFI.

Andika https://ipetano.co.tz kupitia Google, kisha bonyeza vipengele na chagua USAFI, ili kutoa maoni yako juu ya bidhaa mbalimbali zilizo ndani ya kipengele husika.

~~~~~~~~~~
Ukipenda kutoa maoni kwa njia ya video, tuma video fupi ukielezea bidhaa/huduma fulani unayotumia na jinsi unavyoifurahia/maeneo unayohitaji yaboreshwe.

Maoni yatumwe kupitia whatsapp nambari +255793640631

Sharti:
1. Uwe na umri usiopungua miaka 18.
2. Mwenye akili timamu.
3. Umetumia bidhaa/huduma husika ndani ya miezi mitatu iliyopita.

Unaipa moja πŸ‘ŠπŸΎ au unaipa tanoπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ”₯? Kitu gani kinakufurahisha zaidi kuhusu sabuni hiyo?Tembelea jukwaa la Ipe Tano...
24/07/2025

Unaipa moja πŸ‘ŠπŸΎ au unaipa tanoπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ”₯? Kitu gani kinakufurahisha zaidi kuhusu sabuni hiyo?

Tembelea jukwaa la Ipe Tano, na weka maoni yako kwenye kipengele cha USAFI.

Andika https://ipetano.co.tz kupitia Google, kisha bonyeza vipengele na chagua USAFI, ili kutoa maoni yako juu ya bidhaa mbalimbali zilizo ndani ya kipengele husika.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00

Website

https://ipetano.co.tz/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ipe Tano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share