16/08/2026
🎬 EPISODE 10 | UJUMBE WA ASUBUHI 📱❤️
Dinner imeisha… lakini Jack hakuweza kuacha kumfikiria Rose.
Akaamua kumtumia ujumbe.
“Habari Rose, umeamkaje?”
Jibu likaja:
“Nimeamka salama. Na wewe?” ❤️
Mazungumzo yakaendelea, mpaka Jack akaamua kuuliza swali lililokuwa moyoni:
“Tunarudia?”
Rose hakukataa…
“Tutapanga.” 👀
Lakini nyuma ya ujumbe huu mtamu kuna jambo kubwa ambalo hata wao hawalijui.
Jack anajaribu kuonekana ana maisha aliyoyajenga vizuri…
Wakati Rose anaishi maisha yenye msingi mkubwa kuliko anavyomwonyesha mtu yeyote.
Wameanza kujuana… lakini bado hawajaanza kuujua ukweli wa maisha ya kila mmoja. 🔥
👉 Episode 11 inakuja… na safari yao ndiyo inaanza kuwa serious.