DRAC unit

DRAC unit Funny page 😂😂

🟥 Mpaka mda huu huyu jamaa anakuja kuwa tishio sana kwenye mpira wa bongo, ameanza na kukataa mastaa kwenye timu yake 😂"...
25/11/2024

🟥 Mpaka mda huu huyu jamaa anakuja kuwa tishio sana kwenye mpira wa bongo, ameanza na kukataa mastaa kwenye timu yake 😂

"Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo" Sead Ramovic


🟥 Unaambiwa kocha mpya wa YYoung Africans Sports Clubni kocha pekee kwenye ligi ya NBC  ambaye anaweza kucheza nafasi yo...
25/11/2024

🟥 Unaambiwa kocha mpya wa YYoung Africans Sports Clubni kocha pekee kwenye ligi ya NBC ambaye anaweza kucheza nafasi yoyote dimbani....

FFollowers

WANANCHI ONE WAY TO ROBO FAINALI 😂😂 no one can stop reggae
07/10/2024

WANANCHI ONE WAY TO ROBO FAINALI 😂😂

no one can stop reggae

Wamekutana na timu dhaifu 😂😂ToTotalEnergies CAF Champions League & Confederation CupSimba SC Tanzaniaollowers
07/10/2024

Wamekutana na timu dhaifu 😂😂

ToTotalEnergies CAF Champions League & Confederation CupSimba SC Tanzaniaollowers

“Sisi k**a Yanga tumeamua mchezo huu wa jumamosi tuwakabidhi wazee wetu, huu mchezo wa Derby wa Jumamosi ni (WAZEE DAY ‘...
15/04/2024

“Sisi k**a Yanga tumeamua mchezo huu wa jumamosi tuwakabidhi wazee wetu, huu mchezo wa Derby wa Jumamosi ni (WAZEE DAY ‘Mapigo ya kiutu uzima’), wazee wa Yanga wote hii mechi ni ya kwenu, tukifungwa ni nyie.

“Tunaomba mkatuheshimishe wazee wetu, mje kwa wingi Benjamin Mkapa lakini tunaamin Dua zenu,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.


🇹🇿

Safari ya kuwafuata Tabora Utd, imeanza🔰💪🏽
22/12/2023

Safari ya kuwafuata Tabora Utd, imeanza🔰💪🏽


Address

Kisutu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DRAC unit posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DRAC unit:

Share