Godfrey kadudu

Godfrey kadudu Do not let your dreams being destroyed

09/08/2025
🚨 YALIO JILI 🦁: Simba SC haina mpango wa kusajili kiungo mwingine katika dirisha hili la usajili — usajili wa eneo la ki...
09/08/2025

🚨 YALIO JILI 🦁: Simba SC haina mpango wa kusajili kiungo mwingine katika dirisha hili la usajili — usajili wa eneo la kiungo umefungwa rasmi.

Kocha mkuu Fadlu Davids anaripotiwa kuvutiwa na Alassane Kanté, ambaye ameonyesha kiwango kizuri sana na anaendelea kung’ara katika mazoezi.

Neo Maema ameichagua Simba kwa sababu inashiriki michuano ya CAF Champions League.Nyota huyu amekataa Klabu kadhaa pale ...
06/08/2025

Neo Maema ameichagua Simba kwa sababu inashiriki michuano ya CAF Champions League.

Nyota huyu amekataa Klabu kadhaa pale Afrika Kusini 🇿🇦 Ili atue Simba kucheza CAF Champions League.

Wakala wake amethibitisha hili kupitia SABC Sports......


Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo Agosti 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa mat...
06/08/2025

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo Agosti 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo chake leo tarehe 6 Agosti 2025, Dodoma.

Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa.

Address

Korogwe

Telephone

+255653261832

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Godfrey kadudu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Godfrey kadudu:

Share