Taifa La Watoto Kyela Fm

Taifa La Watoto Kyela Fm Kipindi maalum cha watoto kinachokujia kila siku za jumamosi kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 4:00

Kyela fm radio 96.1mhz ilitembelea shule ya msingi Uhuru iliyopo wilayani Kyela kwa ajili ya kufanya kipindi cha Taifa l...
20/02/2020

Kyela fm radio 96.1mhz ilitembelea shule ya msingi Uhuru iliyopo wilayani Kyela kwa ajili ya kufanya kipindi cha Taifa la watoto kinafanyika kila siku ya Jumamosi kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa nne asubuhi mtangazaji wako Anti Elizabeth Asajile

09/06/2019

usikose kusikiliza kipindi cha Taifa la watoto kinachokujia kila siku ya Jumamosi saa tatu asubuhi hadi saa nne asubuhi Kyela Fm Radio.Watoto ni Taifa la kesho mzazi timiza wajibu.

Wale wazee wa band mniambie chochote kuhusu kupigwa band mashuleni
01/03/2018

Wale wazee wa band mniambie chochote kuhusu kupigwa band mashuleni

Huu utamaduni bado upo na k**a upo je unaendana na zamani au ni zaidi ya zamani toa maoni yako
25/02/2018

Huu utamaduni bado upo na k**a upo je unaendana na zamani au ni zaidi ya zamani toa maoni yako

Elimu ni mwanga,elimu ni urithi mzazi timiza wajibu ni katika kusimamia suala La elimu kwa mtoto ili kujenga Taifa La  k...
21/01/2018

Elimu ni mwanga,elimu ni urithi mzazi timiza wajibu ni katika kusimamia suala La elimu kwa mtoto ili kujenga Taifa La kesho KYELA FM RADIO sauti yako mafanikio yako

Kipindi maalum cha watoto kinachokujia kila siku za jumamosi kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 4:00

Naam msikilizaji wa kyela fm radio nikukaribishe tena kwa moyo mkunjufu ikiwa nisiku nyingine katika kipindi cha taifa L...
12/01/2018

Naam msikilizaji wa kyela fm radio nikukaribishe tena kwa moyo mkunjufu ikiwa nisiku nyingine katika kipindi cha taifa La watoto kinachorushwa katika studio za 96.1mhz siku ya jumamosi kuanzia Saa 09:00 asubuhi hadi majira ya saa 10:00! asubuhi ,wiki hii tumepata kutembelea shule ya msingi Uhuru iliyopo wilayani kyela ,maeneo yote inaposikika kyela fm radio tuungane pamoja kusikiliza kipindi hiki kuhakikisha wazazi tunatimiza wajibu kwa watoto.

Ulindi na ulimbombo,Ni binadamu wa ngapi aligundua moto? Ujumbe wako utasoma kupitia kipindi cha taifa la watoto unaweza...
08/01/2018

Ulindi na ulimbombo,Ni binadamu wa ngapi aligundua moto? Ujumbe wako utasoma kupitia kipindi cha taifa la watoto unaweza piga simu 0755233433 tutaongea na mtoto wako kyela fm radio inaelimisha inaburudisha

Usikose kusikiliza kipindi cha Taifa la watoto siku ya jumamosi kuanzia majira ya saa 09:00 asubuhi hadi Saa 10:00 asubu...
05/01/2018

Usikose kusikiliza kipindi cha Taifa la watoto siku ya jumamosi kuanzia majira ya saa 09:00 asubuhi hadi Saa 10:00 asubuhi ambapo siku ya tar 06/01/2018 tutakuwa na wototo kutoka shule mbalimbali wilayani kyela tukiungana na watoto walioko nyumbani kupitia namba za studio 0752 464 828 huku tukiangazia mambo mbalimbali k**a vile maswali,methali,nahau,vitendawili,mafumbo,hadithi,na nyimbo,kyela FM radio inaelimisha inaburusha utakuwa nami mtangazaji wako Elizabeth Michael

Kipindi maalum cha watoto kinachokujia kila siku za jumamosi kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 4:00

Address

Kyela Bus Terminal
Kyela

Telephone

0752464828

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taifa La Watoto Kyela Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category