Kasi Online Tv

Kasi Online Tv Habari kutoka katika kila kona ya dunia dealing with day to day information that happen on the world

Tuendeleee Kumuomba Mungu Daimaaa........
23/06/2025

Tuendeleee Kumuomba Mungu Daimaaa........

Nipo mtaani Kwenu
14/06/2025

Nipo mtaani Kwenu

Tanzania Salama chini ya Mhe. Rais Dkt.  Asante mama tunatafuta %100 ya kura zako.
08/05/2025

Tanzania Salama chini ya Mhe. Rais Dkt. Asante mama tunatafuta %100 ya kura zako.




Daima nitailinda na Kuitetea Imani yangu, Nitadumu katika Utaifa, Uzalendo na Kujitolea kwa nchi Yangu.     πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ  πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡Ή...
04/05/2025

Daima nitailinda na Kuitetea Imani yangu, Nitadumu katika Utaifa, Uzalendo na Kujitolea kwa nchi Yangu.


πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ
πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿

Tanzania Salama!
03/05/2025

Tanzania Salama!

Kazi na utu, Tuna songa Mbele
02/05/2025

Kazi na utu, Tuna songa Mbele

Brother and Sisters tunapo Kutana huwa tunajiuliza na kujipongeza kwa Majukumu ya Kila siku.
08/04/2025

Brother and Sisters tunapo Kutana huwa tunajiuliza na kujipongeza kwa Majukumu ya Kila siku.


Equator ya nchini Uganda ni mstari wa kuimagharibi hadi mashariki unaogawanya dunia katika nusu ya kaskazini na ya kusin...
06/04/2025

Equator ya nchini Uganda ni mstari wa kuimagharibi hadi mashariki unaogawanya dunia katika nusu ya kaskazini na ya kusini, na Uganda ni mojawapo ya nchi chache duniani ambazo mstari huu unapita katikati yake.

Maelezo Muhimu Kuhusu Equator ya Uganda:

1. Mahali Inapopitia:

Equator inapita katikati ya Uganda, hasa kupitia mikoa k**a Kayabwe (katika Wilaya ya Mpigi), ambayo iko takriban kilomita 72 kusini mwa Jiji la Kampala.

Pia inapita karibu na miji k**a Masaka, Kasese na maeneo ya karibu na Ziwa Edward.

2. Alama Maalum:

Katika eneo la Kayabwe, kuna alama maalum ya Equator ambayo ni kivutio kikubwa cha watalii. Watu wengi huenda hapo kupiga picha na kujifunza kuhusu tabia za kijiografia za equator.

Kuna maonyesho madogo ya kisayansi yanayoonyesha tofauti ya mzunguko wa maji upande wa kaskazini na kusini mwa equator (Corriolis Effect), ingawa baadhi ni ya kuelimisha tu kuliko kisayansi halisi.

3. Umuhimu wa Equator:

Inasaidia kuelewa hali ya hewa ya Uganda. Sehemu nyingi karibu na equator hupata joto la wastani na mvua ya mara kwa mara, hivyo kufanya Uganda kuwa na hali ya hewa nzuri kwa kilimo.

Inavutia watalii, hivyo ni chanzo cha mapato kwa sekta ya utalii.

4. Tukio la Jua:

Katika maeneo ya equator, siku na usiku huwa karibu na urefu sawa (takriban masaa 12 kila moja) mwaka mzima.

Je, ungependa pia picha au mchoro unaoonyesha sehemu equator inapopita Uganda?

Ni Mungu tu ndie anaetambua safari ya Maisha yetu, tunasafiri kwa Neem yake na Tutafika kwa Neema Zake.
04/04/2025

Ni Mungu tu ndie anaetambua safari ya Maisha yetu, tunasafiri kwa Neem yake na Tutafika kwa Neema Zake.

WASIRA AFAFANUA KUONGEZA DENI LA TAIFA, AMTETEA RAIS DK.SAMIANa Mwandishi WetuMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (...
29/03/2025

WASIRA AFAFANUA KUONGEZA DENI LA TAIFA, AMTETEA RAIS DK.SAMIA

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.

Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan bali limekuwepo tangu enzi za Rais wa kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wanachama pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu katika kikao cha ndani kikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kusikiliza kero za wananchi.

β€œTunakopa ili kufanya jambo ambalo tutaishi nalo na faida zake kwa miaka mingi kizazi hiki na hata kizazi kijacho na lile deni sio kwamba amekopa Rais Samia trilioni 97 sio kweli, lile deni linaongezeka na madeni mengine ya zamani ambayo tulishakopa tangu enzi za Nyerere, alichukua miaka 40 kuanza kulipa nayo yamo katika hesabu," amesema.

Kasi Online Tv CCM Tanzania @

TCRA YAFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI KATIKA MIFUMO YA TEHAMA-ZANZIBARMeneja wa Mamlaka ya Mawas...
25/03/2025

TCRA YAFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI KATIKA MIFUMO YA TEHAMA-ZANZIBAR

Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Ofisi ya Zanzibar, Bi. Esuvatie Masinga, akifungua mafunzo ya siku tano (5) kwa Wanafunzi wa k**e thelathini (30) kutoka Shule za Sekondari Lumumba, Tumekuja , Zanzibar Commercial, Dr. John P.Magufuli na Ali Hassan Mwinyi zilizopo Unguja, Zanzibar.

Mafunzo hayo yanafanyika kuanzia tarehe 24-28 Machi, 2025 katika Kituo cha Kompyuta kilichopo Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA).

Mafunzo hayo yanaratibiwa na TCRA kwa kushirikiana na wakufunzi wa SUZA kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kubuni suluhisho za TEHAMA ili kutatua changamoto za kijamii. Hii ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika TEHAMA 2025 yatakayofanyika tarehe 24 Aprili 2025.

Ni miaka 7 sasa tangu maadhimisho haya kuanzishwa rasmi kupitia shirika la Mawasiliano Duniani (ITU) na TCRA k**a mwanachama na mjumbe wa baraza la shirika hilo imeendelea kufikia wasichana kwa lengo la kuwahamasisha na kuwatia moyo wasichana na wanawake kupenda masomo Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM), na kujihusisha ya shughuli za sekta ya TEHAMA, ili kupunguza pengo la kijinsia katika tasnia hii na hivyo kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) hasa lengo namba 5.

Address

Kalumbulu
Kyela
P.OBOX516

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasi Online Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kasi Online Tv:

Share