
09/03/2025
Waliopo karibu na Kaka Msigwa wajaribu kumweleza na kumwambia kuwa watu wanajua mengi
Kutoka Ethiopia mpaka Kilimanjaro ni kilometa ngapi, na kutoka Rufiji ni kilometa ngapi?
Gharama za umeme za Tanzania anapanga nani na za wenzetu anapanga nani? Kuna namna tunafanywa HAMNAZO?
TAARIFA YAKE IMEACHA MASWALI MENGI ZAIDI.