Chika Media Tz

Chika Media Tz is page creating for the news

17/12/2023


18/06/2023

Huko nchini Uingereza, jamaa aitwaye Simon Smith aligongwa na basi na kurushwa umbali wa futi 20, lakini alipoinuka moja kwa moja akaelekea kwenye baa ya jirani kupata kinywaji. Alipoulizwa kwa nini hakurudi nyumbani kupumzika akasema safari yake ilikuwa ni kwenda Bar na isingekatishwa na chochote.😆🙌 Moral of the story; Ukiwa na shabaha au mwelekeo wako, usikubali kitu chochote kikukwamishe. Songa mbele!😂😂😂

Address

Makambako

Telephone

0621583487

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chika Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share