03/05/2020
“Kwahiyo natoa wito kwa Watanzania tusiogope, tuchape kazi, Wanasiasa waache kutumia corona kuleta manenomaneno, wanasema nifunge DSM, sifungi nishasema, nafikiria kuruhusu hata Ligi ya mpira iendelee, maana sijaona wachezaji wenye corona tuache kutishana” -JPM