Swahili Tv

Swahili Tv Kisiwa Cha Burudani. Subscribe YOUTUBE
>> 254
>> News And Entertainment
(1)

05/01/2026

Serikali Ya Afrika Kusini Pamoja Na Umoja Wa Afrika Wameandika Barua Kukashifu Kukamatwa Kwa Nicholas Maduro Wa Venezuela

05/01/2026

Homa Inayosababishwa Na Marekani.Aliyekuwa Rais Wa Venezuela Nicholas Maduro Kukamatwa Na Serikali Ya Marekani

Hali Ikoje ?

05/01/2026

Rais Wa Jamhuri Ya Kenya William Samoei Ruto Ameanzisha Vita Dhidi Ya Walunguzi Wa Dawa Za Kulevya. Hali Iko Aje ?

Chapisho La GODBLESS LEMA Kwenye Mtandao Wa Instagram Baada Ya Serikali Ya Marekani Kulivamia Taifa La Venezuela Na Kumc...
03/01/2026

Chapisho La GODBLESS LEMA Kwenye Mtandao Wa Instagram Baada Ya Serikali Ya Marekani Kulivamia Taifa La Venezuela Na Kumchukua Rais Nicholas Maduro Na Mkewe !

SGR IMEKWAMAAbiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Ste...
02/01/2026

SGR IMEKWAMA

Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza Stesheni ya Soga, japo taarifa haijafafanuliwa ni hitilafu gani, abiria wameshuka nje ya treni huku wengi wao wakitafuta chai bila ya mafanikio kwani chai ya ndani ya treni ilikuwa imeisha.

JENGO LAPOROMOKAJengo La Orofa 16 Laporomoka Maeneo Ya South C Jijini Nairobi Nchini Kenya .Watu Kadhaa Wakisiwa Kukwama...
02/01/2026

JENGO LAPOROMOKA

Jengo La Orofa 16 Laporomoka Maeneo Ya South C Jijini Nairobi Nchini Kenya .Watu Kadhaa Wakisiwa Kukwama Kwenye Vifusi. Vyombo Vya Usalama Vinaendelea Na Shughuli Za Uokoaji .

Picha Za Baadhi Ya Wasanii Wa Kilifi Stars Search Nchini Kenya. Ni Hafla Ya Kuchipua Vipaji Katika Kaunti Husika Picha/ ...
01/01/2026

Picha Za Baadhi Ya Wasanii Wa Kilifi Stars Search Nchini Kenya. Ni Hafla Ya Kuchipua Vipaji Katika Kaunti Husika

Picha/ Fazul Khalid

Mwanaharakati MANGE KIMAMBI Ameamua Kumjibu ZITTO KABWE
01/01/2026

Mwanaharakati MANGE KIMAMBI Ameamua Kumjibu ZITTO KABWE

Alichoandika Kwenya Mtandao Wa X Aliyekuwa Mbunge Wa Kigoma ZITTO KABWE . Baadhi Ya Watanzania Wanasema Ni Dalali Wa Sia...
01/01/2026

Alichoandika Kwenya Mtandao Wa X Aliyekuwa Mbunge Wa Kigoma ZITTO KABWE . Baadhi Ya Watanzania Wanasema Ni Dalali Wa Siasa !

Mmiliki Wa Shampuz Media Akiwa Pamoja Na Mpiga Picha Wake Katika Shughuli Mzima Wa Ukuuzaji Wa Vipaji Nchi Kenya Gatuzi ...
01/01/2026

Mmiliki Wa Shampuz Media Akiwa Pamoja Na Mpiga Picha Wake Katika Shughuli Mzima Wa Ukuuzaji Wa Vipaji Nchi Kenya Gatuzi La Kilifi County Government

Picha/ Fazul Khalid

Hafla Ya Kusaka Vipaji Nchini Kenya Katika Gatuzi La Kilifi County Government. Shughuli Mzima Ilihudhuriwa Na Gavana Mst...
01/01/2026

Hafla Ya Kusaka Vipaji Nchini Kenya Katika Gatuzi La Kilifi County Government. Shughuli Mzima Ilihudhuriwa Na Gavana Mstahiki Gideon Maitha Mung'aro, PS Fikirini Jacobs, Mbunge Mnyazi, ***y M Tuva Na Wageni Wengine Walioalikwa !

Picha/ Fazul Khalid

Chapisho La Makamu Mwenyekiti Wa CHADEMA JOHN WEGESA HECHE Baada Ya Tamko La Jaji Mstaafu Kuhusu Mauaji Yaliyotokea Siku...
23/12/2025

Chapisho La Makamu Mwenyekiti Wa CHADEMA JOHN WEGESA HECHE Baada Ya Tamko La Jaji Mstaafu Kuhusu Mauaji Yaliyotokea Siku Ya Uchaguzi Nchini Tanzania !

Address

Masaki

Telephone

+254704000104

Website

https://www.youtube.com/@habari254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili Tv:

Share