Morekai Ministries International

Morekai Ministries International We are dedicated to help you encounter God through Jesus Christ, grow into relationship with God and being reconciled with God
(1)

21/07/2025

🔴LIVE: NIANDALIE MIMI KWANZA, USIKU WA MANANE || 22 JULY 2025 || APOSTLE FADHILI THE KEMUEL

20/07/2025

🔴LIVE: KUYASHINDA MAPEPO YA KIGERASI, USIKU WA MANANE || 21 JULY 2025 || Apostle Fadhili The Kemuel

Shalom Tanzania tunamaombi ya usiku wa manane kila siku , nayaongoza Mimi mwenyewe je uko tayari.Tuma ujumbe kwa njia ya...
20/07/2025

Shalom Tanzania tunamaombi ya usiku wa manane kila siku , nayaongoza Mimi mwenyewe je uko tayari.
Tuma ujumbe kwa njia ya WhatsApp #+255785973519 jitambulishe Jina lako na mahali unapotoka na omba kuunganishwa kwenye group la maombi, je unahitaji unabii au kutendewa na Mungu nipo kwa ajili yako. Umbali sio kikwazo.
Ungana nasi sasa

😍♥️♥️

Nakukaribisha kwenye ibada hii kubwa sana ya ushirika mtakatifu. Utapatanishwa na Mungu, Maagano yote ya Giza yatavunjwa...
19/07/2025

Nakukaribisha kwenye ibada hii kubwa sana ya ushirika mtakatifu. Utapatanishwa na Mungu, Maagano yote ya Giza yatavunjwa, kila vifungo vitaondolewa na utafunguliwa na kuwa huru, utainuka tena. Unapopatanishwa na Mungu, yaliyoharibika Bwana anayafinyanga tena. Wee njoo kanisani kesho jumapili hii utaona Mungu atakayokutendea. Usisahau Imani Yako nyumbani.

Tuma ujumbe kwenye namba 0785973519 uunganishwe kwenye group la maombi ya saa nane kamili usiku kwa njia ya WhatsApp
18/07/2025

Tuma ujumbe kwenye namba 0785973519 uunganishwe kwenye group la maombi ya saa nane kamili usiku kwa njia ya WhatsApp

Shalom
Leo maombi haya yatakuwa live kwa njia ya WhatsApp tu tuma Jina lako na mkoa wako kupitia namba +255785973519 kuomba kuungwa.

Mda wa maombi ni saa nane kamili saa za Tanzania.

Man of God Apostle Fadhili The Kemuel  Mungu ametuinulia mtu huyu kwa utukufu wake. Akisema basi Mungu amenena. Ubarikiw...
14/07/2025

Man of God Apostle Fadhili The Kemuel Mungu ametuinulia mtu huyu kwa utukufu wake. Akisema basi Mungu amenena. Ubarikiwe sana baba Yetu

Huyu ndiye aliyetabili haya yanayoendelea. Sikiliza huu unabii. Kuna mahali Taifa linaelekea Apostle Fadhili The Kemuel ...
14/07/2025

Huyu ndiye aliyetabili haya yanayoendelea. Sikiliza huu unabii. Kuna mahali Taifa linaelekea Apostle Fadhili The Kemuel

14/07/2025

Unabii juu ya polepole waanza kutimiza, Mungu Bado anasema. Je unataka kujua kitakachotokea juu ya Taifa. Narudia tena bado Bwana anasema na akisema inatokea. Mtumishi wa Mungu Apostle Fadhili The Kemuel

ungu

12/07/2025

🔴LIVE: USIKU WA MANANE// KUISHINDA ROHO YA HOFU (88) || 13 JULY 2025|| APOSTLE FADHILI THE KEMUEL

11/07/2025

🔴LIVE:MAOMBI YA USHINDI DHIDI YA UGANGA NA UCHAWI (87) // 12 JULY 2025 // APOSTLE FADHILI KEMUEL

10/07/2025

🔴LIVE: MAOMBI USIKU WA MANANE(86) // HATARI YA NDOTONI // 11 JULY 2025 // APOSTLE FADHILI THE KEMUEL

09/07/2025

🔴LIVE: MAOMBI USIKU WA MANANE(85) // MALANGO YA NDOTO // 09 JULY 2025 // APOSTLE FADHILI THE KEMUEL

Address

Masaki

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Morekai Ministries International posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category