Jitibu Nyumbani

Jitibu Nyumbani Nilibahatika Kuishi Na DOCTOR Wa Tiba Asili, Nikabahatika Kuona Watu Wakipona Kwa Kutumia Mimea.

Nami NaShare Ujuzi Huu Nawe, Na Wewe Share Na Wengine.

05/07/2025

DAWA YA HARUFU MBAYA UKENI

Harufu ndogo ya kawaida ukeni ni ya kawaida kabisa, kwa sababu uke una bakteria wazuri wanaosaidia kulinda afya yake. Hata hivyo, harufu kali isiyo ya kawaida inaweza kuashiria matatizo k**a vile:

✅ **Maambukizi ya fangasi (yeast infection)** — harufu inaweza kuwa chachu, ikifuatana na uchafu mweupe mzito na kuwashwa.
✅ **Bacterial vaginosis (BV)** — mara nyingi husababisha harufu k**a ya samaki, hasa baada ya ngono.
✅ **Maambukizi ya zinaa (STIs)** — k**a trichomoniasis, yanaweza kuleta harufu mbaya na uchafu wa kijani au wa njano.
✅ **Usafi duni** — kutoshughulikia usafi wa sehemu za siri vizuri kunaweza pia kusababisha harufu mbaya.
✅ **Tampon iliyosahaulika** — wakati mwingine tampon ikibaki ukeni kwa muda mrefu inatoa harufu kali sana.

**Nini cha kufanya?**
✔ Osha kwa maji safi bila kutumia sabuni kali (sabuni inaweza kuvuruga uwiano wa bakteria wazuri).
✔ Va nguo za ndani za pamba na usibane sana.
✔ Epuka “douching” (kuingiza sabuni au maji ndani ya uke) kwa sababu huharibu bakteria wazuri.
✔ K**a harufu ni kali, inakera, inaambatana na uchafu usio wa kawaida, maumivu au muwasho — tafadhali muone daktari au kliniki kwa vipimo na tiba sahihi.

NB: K**A UMEMUONA DOKTA NA BADO TATIZO LINAENDERA TUMIA DAWA HII ITAMALIZA SHIDA YAKO.

15/04/2025

Dawa Ya Kurekebisha Tumbo la uzazi. Fanya Tumbo Lako liwe la kuvutia Baada ya KUJIFUNGUA Kwa Dawa hii Ya Asili Ya Kichina.

Gharama Ya Dawa ni Tsh 69000/= Tunatuma mikoa yote Tanzania Bara, UNALIPIA BAADA YA KUPOKEA DAWA.

Uliyeweka Order Wahi mapema, ukichelewa Tusilaumiane.

05/11/2024

DAWA YA ASILI YA BAWASIRI YA NJE NA NDANI.
Dawa Hii Ni Ya Asili Imetengenzwa China Na Kusibitishwa Na Mamlaka Za Dawa.
Gharama Yake Ni Tsh 25000/=
Namba Yangu Ya Simu Ni 0763421257
Unatumiwa Mkoa Wowote Ule Kwa Gharama Yako.

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jitibu Nyumbani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jitibu Nyumbani:

Share