Access Fm Radio

Access Fm Radio Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Access Fm Radio, Radio Station, Old Forest, Mzumbe Area MBEYA, Mbeya.

Contemporary Hits Station(CHR) Radio Station From Mbeya Tanzania..
100.9 MHz |MBEYA|SONGWE|

SIKILIZA ACCESS FM LIVE 🌎🌎🌎🌍👇👇👇
onlineradiobox.com/tz/access1009/?cs=tz.access1009

31/01/2023

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini Mh.Dr.Tulia Ackson atamani kutokuwepo kwa mwanchi Jimboni kwake kulala na njaa kwa kusosa chakula

25/01/2023



Adhabu ya aina hii ni ukatili wa watoto shuleni. Ikumbukwe, wizara ya elimu ilitoa waraka wa viboko shuleni namba 24 wa mwaka 2020. Huyu anayefanya kuchapa hapa ni ukatili. Halafu Yaani unakuwa na waalimu wa hivi, mtoto anachapwa wao wanacheka.

Nimepata tips kuwa eti ni Shule ya Msingi iliopo Wilaya ya Kyerwa-Kagera na ni tukio la tar.10 Januari 2023. NAFUATILIA ZAIDI KUTOKA MAMLAKA HUSIKA. TUTAWASILIANA.

UPDATES: CONFIRMED: Mhe Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Kagera kesho atatoa taarifa yake. TUSUBIRI Situation is under control.
WAALIMU ZINGATIENI UTARATIBU WA ADHABU ZA WANAFUNZI: LAZIMA SHERIA ZIHESHIMIWE.
Tutafuatilia utekelezaji wa sheria dhidi ya wanaofanya ukatili, jamii itaibua hawatajificha. Tusonge mbr tumechoka kabisa na ukatili.

Mchezaji qa timu ya vijana U17 ya singida big stars mohammed maarufu Banda amefariki mazoezini mara baada ya kugongana n...
19/01/2023

Mchezaji qa timu ya vijana U17 ya singida big stars mohammed maarufu Banda amefariki mazoezini mara baada ya kugongana na mchezaji mwenzake wakati wakigombea mpira wa juu.

Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Singida (Sirefa), Hamis Kitila amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.

Ni kweli walikuwa kwenye mazoezi asubuhi jina la marehemu anaitwa Mohammed hili Banda ni la utani anajulikana zaidi kwa jina hilo amesema kitila.



NAWEZA KURUDI KWENYE MEDIA Ameyasema hayo alipo hojiwa kupitia kipindi cha     amefunguka mengi kwamba anaweza kurudi te...
19/01/2023

NAWEZA KURUDI KWENYE MEDIA
Ameyasema hayo alipo hojiwa kupitia kipindi cha amefunguka mengi kwamba anaweza kurudi tena na kua Presenter.



Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga wamekutana na kufanya...
19/01/2023

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Umeme na Gesi.

Mazungumzo hayo yamefanyika tarehe 18 Januari, 2023 jijini Dodoma ambapo viongozi hao walizungumzia ushirikiano katika kuendeleza nishati ya Jotoardhi, Jua, Upepo pamoja na mradi ya usafirishaji Gesi, usafirishaji umeme na usambazaji umeme vijijini.

Catch Him Live On TAASISI YA BURUDANI  ... B56, B PLUS, THE BIG DADDY...NDEGE LA KIVITA KUTUA uwanja wa BURUDANI  POWER ...
19/01/2023

Catch Him Live On TAASISI YA BURUDANI ... B56, B PLUS, THE BIG DADDY...NDEGE LA KIVITA KUTUA uwanja wa BURUDANI POWER CLUB SHOW
100.9


Mpira umemalizika kwa simba kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya mbeya city
18/01/2023

Mpira umemalizika kwa simba kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya mbeya city



Mpira ni mapumziko ikiwa hamna mbabe Simba 1 mbeya city 1
18/01/2023

Mpira ni mapumziko ikiwa hamna mbabe
Simba 1 mbeya city 1



Makamu wa Rais wa Gambia Badara Alieu Joof amefariki dunia nchini India, kwa mujibu wa tangazo la rais.Makamu huyo wa ra...
18/01/2023

Makamu wa Rais wa Gambia Badara Alieu Joof amefariki dunia nchini India, kwa mujibu wa tangazo la rais.

Makamu huyo wa rais amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, ingawa rais hakutaja iwapo alikuwa akipokea matibabu nchini India au la.

Rais Adama Barrow alimteua Bw Joof k**a makamu wa rais baada ya kushinda uchaguzi wa marudio mnamo Disemba mwaka jana.

  II Ya Taasisi ya burudani   inamilikiwa na  akitambulisha rasmi track yake ya Emoji na story kibao za mwaka Mpya
18/01/2023

II Ya Taasisi ya burudani inamilikiwa na akitambulisha rasmi track yake ya Emoji na story kibao za mwaka Mpya



Mtaani kwako bei ya Michele inasoma shingapiii  hii Njaanuary.   share na sisi
18/01/2023

Mtaani kwako bei ya Michele inasoma shingapiii hii Njaanuary. share na sisi



Klabu Ya Ihefu FC ya Ubaruku Mkoani Mbeya imethibitisha Kukamilisha Usajili wa Viungo Wawili Kutoka Klabu Ya Simba Victo...
18/01/2023

Klabu Ya Ihefu FC ya Ubaruku Mkoani Mbeya imethibitisha Kukamilisha Usajili wa Viungo Wawili Kutoka Klabu Ya Simba Victor Akpan na Nelson Okwa Kwa Mkopo wa Miezi Sita.



Address

Old Forest, Mzumbe Area MBEYA
Mbeya

Telephone

+255677108109

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Access Fm Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Access Fm Radio:

Share

Category