Clever Media Tz

Clever Media Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Clever Media Tz, Media, Mbeya.

https://youtu.be/5uaI28q5jKU
07/03/2025

https://youtu.be/5uaI28q5jKU

AMEHUKUMIWA MAISHA JELA KWA KUMLAWITI MTOTO | AHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KOSA LA KULAWITI MTOTO ...

HABARI MPYA:Watu 17 wamekutwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani Mbeya, huku mamlaka za afya zikihimiza wananchi kuchukua...
11/12/2024

HABARI MPYA:
Watu 17 wamekutwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani Mbeya, huku mamlaka za afya zikihimiza wananchi kuchukua tahadhari kubwa. Ugonjwa huo unahusishwa na matumizi ya maji yasiyo safi na salama pamoja na usafi duni wa mazingira.

Wakazi wanashauriwa kufuata ushauri wa wataalamu wa afya, ikiwemo kunywa maji yaliyochemshwa na kudumisha usafi wa vyakula na mazingira.



Video:

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Dkt. Yesaya Mwasubila, amesema kuwa watu 17 wamegundulika kuwa na ugonjwa wa Kipindupindu na tayari wamepelekwa ...

HABARI MPYA:Askari wawili wa TANAPA wamekamatwa mkoani Katavi kwa tuhuma za mauaji ya kutumia silaha. Tukio hilo linahus...
09/12/2024

HABARI MPYA:
Askari wawili wa TANAPA wamekamatwa mkoani Katavi kwa tuhuma za mauaji ya kutumia silaha. Tukio hilo linahusishwa na kifo cha mwananchi. Uchunguzi wa Polisi unaendelea.



Video: πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

AFYA:Mtaalamu wa tiba asili  ameendelea kuvutia wengi kwa uwezo wake wa kuunganisha mifupa ya wagonjwa waliovunjika. Wag...
09/12/2024

AFYA:
Mtaalamu wa tiba asili ameendelea kuvutia wengi kwa uwezo wake wa kuunganisha mifupa ya wagonjwa waliovunjika. Wagonjwa waliotibiwa wameeleza kurudi katika hali yao ya kawaida baada ya matibabu hayo.



Video: πŸ‘‰πŸ‘‰

HABARI MPYA:Ajali mbaya imetokea eneo la Mbembela, Mbeya, ikihusisha lori na bajaji. Mashuhuda wamesema ajali hiyo imesa...
27/11/2024

HABARI MPYA:
Ajali mbaya imetokea eneo la Mbembela, Mbeya, ikihusisha lori na bajaji. Mashuhuda wamesema ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa. Polisi na wananchi wanaendelea na juhudi za uokoaji.



Video:

HABARI MPYA:Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa WHO Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile, amefariki dunia us...
27/11/2024

HABARI MPYA:
Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa WHO Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametuma salamu za pole kwa familia, wakazi wa Kigamboni, na Watanzania wote.

HABARI MPYA:Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia CHADEMA Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilaya ya Man...
27/11/2024

HABARI MPYA:
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia CHADEMA Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilaya ya Manyoni, George Juma, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na askari Magereza usiku wa kuamkia leo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Amon Kakwale, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

HABARI MPYA:Mwanzilishi wa Tron, Justin Sun, amewekeza dola milioni 30 katika mradi wa sarafu ya kidijitali wa Rais mteu...
27/11/2024

HABARI MPYA:
Mwanzilishi wa Tron, Justin Sun, amewekeza dola milioni 30 katika mradi wa sarafu ya kidijitali wa Rais mteule Donald Trump, na kumfanya kuwa mwekezaji mkubwa zaidi katika mradi huo.

HABARI MPYA:πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡΅ Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, anajiandaa kurejea katika mazungumzo ya moja kwa moja na Kiongoz...
27/11/2024

HABARI MPYA:
πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡΅ Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, anajiandaa kurejea katika mazungumzo ya moja kwa moja na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un.

HABARI MPYA:πŸ‡·πŸ‡΄ Mgombea anayeongoza katika uchaguzi wa urais nchini Romania, CΔƒlin Georgescu, amelaani kile alichokiita m...
27/11/2024

HABARI MPYA:
πŸ‡·πŸ‡΄ Mgombea anayeongoza katika uchaguzi wa urais nchini Romania, CΔƒlin Georgescu, amelaani kile alichokiita mashambulizi ya kimataifa dhidi ya Ukristo, akitangaza kuwa "hakuna anayeweza kumshinda Mungu."

HABARI MPYA:Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, amewananga viongozi wa CHADEMA huku akiomba radhi kwa Chama ...
26/11/2024

HABARI MPYA:
Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, amewananga viongozi wa CHADEMA huku akiomba radhi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa maneno aliyowahi kusema dhidi yao. Msigwa alisema, "Nilikuwa kipofu lakini sasa naona," akisisitiza kwamba ametambua mazuri ya CCM.



Video link

Aliekuwa Mbunge wa Chadema kutoka Iringa, Peter Msingwa, ameshiri Mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jiji la Mbeya, ambapo ametoa tamko l...

HABARI MPYA:Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amegawa nakala za viapo kwa mawakala wa chama hicho wa uchag...
26/11/2024

HABARI MPYA:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amegawa nakala za viapo kwa mawakala wa chama hicho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Tarafa ya Ikungi, Halmashauri ya Ikungi, mkoani Singida, Novemba 26, 2024.

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Clever Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category