Nicodem Ambokile

Nicodem Ambokile Journalist

Azam Fc wamepitisha panga πŸ’₯ Asantenβ–ͺ️ Baraket Lhmidi β–ͺ️ Fofana Issa β–ͺ️ Tayeb Ben Zitoun β–ͺ️ DiakitΓ© Amala Bado nani ?
11/08/2026

Azam Fc wamepitisha panga πŸ’₯ Asanten

β–ͺ️ Baraket Lhmidi
β–ͺ️ Fofana Issa
β–ͺ️ Tayeb Ben Zitoun
β–ͺ️ DiakitΓ© Amala

Bado nani ?

DEAL DONE βœ…  Klabu ya Pamba Jiji Fc imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Abdulkarim Yunus  kutoka Black  Bull...
11/08/2026

DEAL DONE βœ… Klabu ya Pamba Jiji Fc imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Abdulkarim Yunus kutoka Black Bulls Fc ya Msumbiji.

DEAL DONE βœ… 🚨 klabu ya Pampa jiji Fc imekamilisha usajili wa Idriss Diomande, Kiungo Mshambuliaji kutoka Singida Black S...
11/08/2026

DEAL DONE βœ… 🚨 klabu ya Pampa jiji Fc imekamilisha usajili wa Idriss Diomande, Kiungo Mshambuliaji kutoka Singida Black Stars, Raia wa Ivory coast.

Balaa jipya Laliga πŸ’₯πŸ’₯Yan Diomande πŸ”₯Kylian Mbappe πŸ”₯
11/08/2026

Balaa jipya Laliga πŸ’₯πŸ’₯

Yan Diomande πŸ”₯
Kylian Mbappe πŸ”₯

πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Yanga SC,  imemtambulisha mshambuliaji Selemani Mwalimu 'Gomez' k**a mchezaji mpya klabuni hapo licha...
11/08/2026

πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Yanga SC, imemtambulisha mshambuliaji Selemani Mwalimu 'Gomez' k**a mchezaji mpya klabuni hapo licha ya awali Simba SC kuthibitidha kuwa ni mali yao kuelekea msimu ujao wa 2026/27 wa mashindano baada ya kudai wamefikia makubaliano na Wydad Casablanca ya Morocco.

Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC, alithitibitisha hayo Agosti 08, 2028 kwenye tamasha la Simba Day 2026 na kubainisha kuwa mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Tanzania kwasasa yupo angani akirejea Tanzania kutoka Morocco.

Man United imeshinda kombe la kwanza baada ya kuichapa  Atletico Madrid, na kubeba kombe la Snapdragon ! β€οΈπŸ†Watabeba man...
01/08/2026

Man United imeshinda kombe la kwanza baada ya kuichapa Atletico Madrid, na kubeba kombe la Snapdragon ! β€οΈπŸ†

Watabeba mangapi msimu huu????πŸ˜‚

DEAL DONE βœ… Klabu ya  Arsenal imethibitidha kukamilisha usajili wa winga Christos Tzolis!  Kutoka Club Brugge.
23/07/2026

DEAL DONE βœ… Klabu ya Arsenal imethibitidha kukamilisha usajili wa winga Christos Tzolis! Kutoka Club Brugge.

🚨 πŸ’£πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Alejandro Garnacho atavaa jezi namba  17 katika timu yake mpya ya  Aston Villa. 🟀βšͺ
23/07/2026

🚨 πŸ’£πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Alejandro Garnacho atavaa jezi namba 17 katika timu yake mpya ya Aston Villa. 🟀βšͺ

DEAL DONE βœ… klabu ya kaizer chief imethibitidha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Adolf Mtasingwa  Bitegeko kutoka A...
21/07/2026

DEAL DONE βœ… klabu ya kaizer chief imethibitidha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Adolf Mtasingwa Bitegeko kutoka Azam Fc

Adolf Mwenye umri wa miaka 27 amekua mchezaji wKwanza kujiunga na Amakhosi

DEAL DONE Klabu ya Azam FC imemtambulisha mshanbuliaji wa kimataifa wa Sudan, John Mano 24,  kutoka klabu ya Al Akhdar y...
21/07/2026

DEAL DONE Klabu ya Azam FC imemtambulisha mshanbuliaji wa kimataifa wa Sudan, John Mano 24, kutoka klabu ya Al Akhdar ya Nchini Libya.

Mano ambaye amewahi kuchezea Al Hilal ya Sudan iliyokuwa chini ya kocha Florent IbengΓ© anatua klabuni hapo kuongeza nguvu safu ya ushambuliaji ya Azam Fc kuelekea msimu wa 2026/27.

Address

Mbeya

Telephone

+255712441336

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nicodem Ambokile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share