12/08/2026
Jihadhari/Tahadhari kwa mtu aliyeokoka na akamjua Mungu.
-usipende kushiriki au kishirikishwa DHAMBI.
-Usipende kuzurura hakikisha una kazi ya kufanya
-Usitamani mambo makubwa au madogo ya watu ambayo unahisi yangekufaa.
-Imani Yako ifuatane na matendo Yako.
-Ishi na Kila mtu kwa kusudi( usijifanyie marafiki wengi watakupote na usiwatenge watu).
-k**a umeoa au kuolewa hakikisha unatunza familia Yako kwa Hali na mali.
JAMBO LA KUKUMBUKA MAISHA YA MTU NI IBADA HIVYO IBADA IWE NI MAISHA YAKO YA KILA SIKU.
UWE NA TAFAKARI NJEMA NA YESU AKUTOKEE.