Canaan Channel

Canaan Channel We Build the Kingdom of God
�Music updates
�Event updates
�Matangazo/ Christian news
�Maarifa ya Kiroho na Kijamii

New Song Release Alert from USCF MUST PRAISE TEAM
19/01/2023

New Song Release Alert from USCF MUST PRAISE TEAM

Mwaliko wa Ibada ya mkesha kutoka  EAGLES CHAPEL
19/01/2023

Mwaliko wa Ibada ya mkesha kutoka EAGLES CHAPEL

OMBA BILA KUKOMA
19/01/2023

OMBA BILA KUKOMA

Unakaribishwa kumaliza mwaka katika ibada hii ya mkesha huu Ijumaa hii
28/12/2022

Unakaribishwa kumaliza mwaka katika ibada hii ya mkesha huu
Ijumaa hii

SEED OF FAITH with Henrick Mruma Live Recording Event  16th DEC At City Harvest - Dar es salaamDon't plan to miss Canaan...
01/11/2022

SEED OF FAITH with Henrick Mruma

Live Recording Event
16th DEC
At City Harvest - Dar es salaam

Don't plan to miss

Canaan Channel
Habakuki 3:19

01/11/2022
Follow our pageBe our PartnerHabakuki 3:19
01/11/2022

Follow our page
Be our Partner

Habakuki 3:19

01/11/2022

Ungana nasi LIVE Ibada ya Kumweka Wakfu na Kusimika Askofu Mteule Mchg. Dakta Syprian Yohana Hilinti na Kumsimika Msaidizi wa Askofu Mteule Mchg. Dakta Zephania Shila Nkesela wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania- Dayosisi ya Kati - Singida.

Ibada hii inakujia kutoka Kanisa Kuu la Uaskofu Imanueli, Singida Mjini.

Anayeongoza Ibada ni Mkuu wa Kanisa, Askofu Dkt. Fredrick Shoo.

YADAH WORSHIP inawakaribisha katika ya kusifu na kuabudu iitwayo   itakayofanyika jumapili hii kuanzia saa tisa kamili m...
01/11/2022

YADAH WORSHIP

inawakaribisha katika ya kusifu na kuabudu iitwayo itakayofanyika jumapili hii kuanzia saa tisa kamili mchana
Karibu sana upokee "SALAMU ZA KIPEKEE"

Mahali ni Eagles Chapel, Mbeya Tanzania

Canaan Channel
We Build The Kingdom Of God
Habakuki 3:19

DAR ES SALAAMDAR ES SALAAM
03/10/2022

DAR ES SALAAM
DAR ES SALAAM

Bwana Yesu Asifiwe!
Tunawakaribisha kwenye semina ya neno la Mungu, Dar es salaam katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe. Semina inaanza tarehe 12 hadi 16 Oktoba 2022, kwanzia saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni. Semina itakuwa LIVE kupitia channel yetu ya Youtube, Upendo TV na redio mbali mbali. Mjulishe na Mwingine na Mungu awabariki.

Kanisa la TAG MVCC kwa Mchungaji Josephat  Mwanjisi, wanakualika katika ibada zao  za kila  wiki k**a tangazo lilivyoele...
12/06/2021

Kanisa la TAG MVCC kwa Mchungaji Josephat Mwanjisi, wanakualika katika ibada zao za kila wiki k**a tangazo lilivyoeleza

Address

Block T
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Canaan Channel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Canaan Channel:

Share

Category