Sweet fm radio 90.5 mbeya

Sweet fm radio 90.5 mbeya Sweet fm radio 90.5 Mbeya . Karibu tukuhudumie kwa gharama nafuu na rafiki kwa wafanyabiashara wote

Viwango vya kibadili fedha 8-7-2025
08/07/2025

Viwango vya kibadili fedha 8-7-2025

  Jumanne Julai 08, 2025
08/07/2025



Jumanne Julai 08, 2025

Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wametumia mabomu ya machozi kukabiliana na waandamanaji wanaolazimisha kuingia katika...
07/07/2025

Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wametumia mabomu ya machozi kukabiliana na waandamanaji wanaolazimisha kuingia katikati ya jiji na maeneo yaliyozuiwa ili kueleza kero zao.

Maandamano hayo ambayo hufanyika siku ya Saba Saba ni kumbukumbu ya kujitolea kwa Wakenya katika mapambano ya demokrasia ya vyama vingi.

Rais wa Kenya, William Ruto amesema ujenzi wa kanisa katika Ikulu ya Nairobi hautagharimu pesa za walipa kodi isipokuwa ...
07/07/2025

Rais wa Kenya, William Ruto amesema ujenzi wa kanisa katika Ikulu ya Nairobi hautagharimu pesa za walipa kodi isipokuwa pesa zake mwenyewe.

“Niwazi niseme, nitajenga hilo kanisa kwa pesa zangu mwenyewe. Gharama yake ni ndogo sana. Watu waache kupotosha umma kwa takwimu za uongo, propaganda hiyo hainitishi,” amesema Ruto.

   Jumatatu Julai 07, 2025
07/07/2025





Jumatatu Julai 07, 2025

04/07/2025
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadil...
03/07/2025

Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana ‘fursa za kibiashara
Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa majadiliano na chakula cha mchana siku ya tarehe 9 katika Ikulu hiyo.
Afisa mmoja wa lkulu ya White House amesema Trump anaamini kwamba nchi za Kiafrika zina fursa kubwa za biashara, ambazo zina manufaa kwa watu wa Marekan na washirika wao barani Afrika.
Tangu aingie madarakani, Trump amechukuwa hatua kadhaa zinazoathiri mahusiano yake na mataifa ya Kiafrika, ikiwemo kupunguza misaada kwa kiwango kikubwa.

RAIS MWINYI AIZAWADIA MILIONI 100 KLABU YA YANGA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Husse...
30/06/2025

RAIS MWINYI AIZAWADIA MILIONI 100 KLABU YA YANGA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika msimu wa mwaka 2024/2025.

Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 30 Juni 2025 alipokutana na viongozi pamoja na wachezaji wa Yanga waliofika Ikulu kwa ajili ya kumkabidhi makombe matano ya michuano mbalimbali waliyoyatwaa msimu huu.

Akizungumza nao, Rais Dkt. Mwinyi amepongeza mafanikio hayo makubwa yaliyopatikana na klabu hiyo kongwe, akieleza kuwa yanajenga heshima na historia muhimu katika tasnia ya michezo nchini.
Aidha, ameishukuru Yanga kwa kuendelea kuitangaza Zanzibar ndani na nje ya nchi kupitia kampeni ya Visit Zanzibar, huku akieleza kuwa hatua ya klabu hiyo kucheza baadhi ya michezo yake Zanzibar kunachangia kukuza uchumi na sekta ya utalii kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wageni na wananchi kunufaika na fursa mbalimbali.

Halikadhalika, Rais Dkt. Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha viwanja vya michezo ili kuwezesha michuano mingi zaidi kufanyika Zanzibar.

Naye Rais wa Yanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vilabu vya Soka Barani Afrika, Mhandisi. Hersi Said Ali, amemkabidhi Rais Dkt. Mwinyi medali maalum ya Michuano ya CRDB pamoja na jezi ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League) pamoja na kutoa pongezi na shukrani kwa Rais Dkt. Mwinyi kwa juhudi zake za kuimarisha miundombinu ya michezo nchini na kuahidi kuwa klabu hiyo itaendelea kucheza mechi zake Visiwani.
Msimu huu, klabu hiyo imefanikiwa kutwaa makombe yafuatayo: Ngao ya Jamii ya Ligi ya NBC, Kombe la Michuano ya Toyota, Kombe la Muungano, Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara, na Kombe la Shirikisho la CRDB.

Klabu ya Yanga imekabidhi makombe matano ambayo imetwaa msimu huu kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapind...
30/06/2025

Klabu ya Yanga imekabidhi makombe matano ambayo imetwaa msimu huu kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Zanzibar leo.

  Jumatatu Juni 30, 2025
30/06/2025



Jumatatu Juni 30, 2025

KARIAKOO DERBY NBCPL 24/25➡️ Mchezo Umemalizika 🔰2⃣🦁0⃣⚽ Pacome⚽ Mzize Kwa Emoji Moja Hapa Umeyapokeaje Matokeo Haya?
25/06/2025

KARIAKOO DERBY NBCPL 24/25

➡️ Mchezo Umemalizika

🔰2⃣
🦁0⃣

⚽ Pacome
⚽ Mzize

Kwa Emoji Moja Hapa Umeyapokeaje Matokeo Haya?

NBCPLUpdatesYoung Africans 2️⃣- 0️⃣ Simba SC ⚽️Pacome ⚽️Mzize
25/06/2025

NBCPLUpdates

Young Africans 2️⃣- 0️⃣ Simba SC
⚽️Pacome
⚽️Mzize

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sweet fm radio 90.5 mbeya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sweet fm radio 90.5 mbeya:

Share

Category