Ben Azam

Ben Azam ♥️ MAKALA ZA MICHEZO
✅ AZAM FC
✅ SHABIKI WA FEI TOTO
🧒 BABA SASHA NA SHAMSA

KILA WATU WAMPOST STAR BOY WAOAllan anaufanya mpira uonekane mwepesi sana, anaamua yeye muda gani afunge na muda gani at...
09/05/2026

KILA WATU WAMPOST STAR BOY WAO
Allan anaufanya mpira uonekane mwepesi sana, anaamua yeye muda gani afunge na muda gani atoe assist, Yanga wanaufanya mpira uonekana mwepesi sana utawaambia nini Maxi Nzengele is balling to the Maximum, yule Pacome anaamua tu come one come all na bado anacheza atakavyo, yule Dube utaamua wewe umwite Striker ama Kiungo ila he is the real Prince pale mbele, Yanga Afrika wamepiga game ya maana sana kumshusha pale kileleni ni ngumu zaidi ya kumrudisha Shishi Igunga, kila mtu aandae Mabegi yake niliwahi kusema hawakosei mara mbili.

Anaitwa RAMADHANI CHOBWEDO.Sijuwi kwanini lakini ila ndo hivyo nasikia SIMBA SC wamemsajili CHOBWEDO na wameshamaliza na...
08/05/2026

Anaitwa RAMADHANI CHOBWEDO.

Sijuwi kwanini lakini ila ndo hivyo nasikia SIMBA SC wamemsajili CHOBWEDO na wameshamaliza nae ila nataka kuongea kitu kwamba hawa wachezaji wanaowika kwenye hizi timu za chini au za level ya kati hasa watanzania hawa, wakisajiliwa kwenye hizi timu kubwa Huwa wanapotea sana .

Mfano mzuri KARABAKA,SALAMBA CHIKOLA,na wengine wengi tu huwa wanapotea sana ,hii ni Kwa sababu wapokuwa kwenye timu zenye presha ndogo Huwa wanakuwa comfortable sana hata wakifanya makosa,mfano wakikosa goli huwa haichukuliwi Kwa uzito sana kwa hakuna anaewapa presha hiyo ila badala yake wanapata backup nzuri kutoka Kwa makocha na kuwafanya wajiamini na kuongeza bidii ya kupambana .

Sasa hii haitokei wanapokuja timu hizi kubwa,huku watu wanataka ugeuka malaika yaani kila kitu ufanye Kwa usahihi ukikosea kidogo tu ,full matusi mara presha nyingi kutoka Kwa Mashabiki,sasa hii haiwi afya Kwa Mchezaji yaani badala mmtengeneze ndo kwanza mnampoteza.

Mfano mzuri MWANENGO Kuna siku alikosa nafasi sikumbuki vizuri ilikuwa game dhidi ya nani mtanikumbusha kwenye comments , baadaya hapo watu walimwandama Kwa maneno mpaka ikabidi kocha asimweke kabisa mpaka juzi alivyoanza kumrudisha kwenye game.
Kelele nyingi ndo zimemwondoa CHIKOLA YANGA SC,watu wanataka afike aanze kuwaka kitu ambacho sio kirahisi hivyo.

Nataka kuamini kwamba k**a OKELO angekuwa mtanzania Kwa kipindi alichopitia pale YANGA SC asingekuwa tena tegemeo pale YANGA SC , ishu ni kwamba tunawavumilia wageni ila wazawa hata hatuna mda nao .

Ndo maana nasema k**a CHOBWEDO anaenda SIMBA SC labda Kwa sababu ya hela ila sioni akipata nafasi ya moja Kwa moja kwenye kikosi Cha kwanza, labda awe backup ya mtu hata akiwa backup ukumbuke SIMBA SC ina mawinga wengi sana na wako vizuri na CHOBWEDO anawazidi mbio tu .

Abaki tu TRA

🏟 TRA UNITED 4️⃣-1️⃣ AZAM Feisal Salum "Feitoto " anashindwa kufunga bao la 11 ndani ya Ligi Kuu ya NBC baada ya Golikip...
08/05/2026

🏟 TRA UNITED 4️⃣-1️⃣ AZAM

Feisal Salum "Feitoto " anashindwa kufunga bao la 11 ndani ya Ligi Kuu ya NBC baada ya Golikipa wa TRA UNITED kufuta Penalti yake pale Sheikh Amri Abeid.

Feitoto aliweka Mpira upande wa kulia wa Omonome ambaye alifuta kulinda lango la TRA United.

KITAMBALAAAA! ⚽️7' TRA UTD 0-1 Azam FC
08/05/2026

KITAMBALAAAA! ⚽️

7' TRA UTD 0-1 Azam FC

CHAMA KUREJEA TIMU YA TAIFAWOULD YOU LOVE TO SEE CHAMA BACK IN THE NATIONAL TEAM 🇿🇲🇹🇿Clatous Chama has been a force to b...
07/05/2026

CHAMA KUREJEA TIMU YA TAIFA
WOULD YOU LOVE TO SEE CHAMA BACK IN THE NATIONAL TEAM 🇿🇲🇹🇿

Clatous Chama has been a force to be reckoned with this week winning two official Man of the Match (MOTM) awards in the space of four days for his performances against Yanga SC and JKT Tanzania, respectively.

Mwamba Wa Lusaka scored a FIFA Puskas Award contending volley and provided an assist vs Yanga on Sunday before scoring the winning goal against JKT Tanzania on Wednesday.

Chama has 11 goals and 8 assists in 39 matches across all competitions this season for Simba and former side Singida Black Stats combined.

The 34 year old last featured for the Zambian national team over a year ago during Russia's 5-0 wall0ping of Zambia in March 2025.

Would you love to see Chama back in the Chipolopolo Boys

FEI TOTO
05/05/2026

FEI TOTO

NI VILE TU WATU HUANGALIA MECHI KUBWA TU.Miongoni mwa game ambazo huwa zinavutia kuziangalia ni Pamoja na hii ambayo ina...
05/05/2026

NI VILE TU WATU HUANGALIA MECHI KUBWA TU.
Miongoni mwa game ambazo huwa zinavutia kuziangalia ni Pamoja na hii ambayo inazikutanisha Azam na Namungo Fc, ni mechi ambayo huwa ni ngumu kwa pande zote mbili na zote huvutana Mashati kwa nyakati tofauti.
Kwa Leo Azam imeshinda 1-0 Bao la penati likiwekwa kimiyani na Fei Toto. Na Fabrice Ngoyi wa Namungo akakosa mkwaju wa penati uliotolewa na kipa Zuberi Foba.

Kabla ya mchezo wa Leo, mara ya mwisho Azam kushinda dhidi ya Namungo ilikuwa October 3 mwaka 2024. Michezo mingine yote waliyokutana baada ya hapo ilikuwa ni kutoshana nguvu.

Leo kulikuwa na game Kali baina ya Ibenge na Mgunda.

Ukifuatilia Media zote kubwa DUNIANI waliopost goli hili kuna mambo kadhaa wameyataja ambayo ni MUHIMU sana. 1- Wametaja...
05/05/2026

Ukifuatilia Media zote kubwa DUNIANI waliopost goli hili kuna mambo kadhaa wameyataja ambayo ni MUHIMU sana.

1- Wametaja Jina la Mchezaji

2- Wametaja timu ya Mchezaji

3- Wametaja Ligi tunayocheza

4- Wametaja Derby inaitwaje

5- Wametaja nchi tunayotokea

UMEGUNDUA? Hakuna sehemu yoyote ambapo YANGA imetajwa na wengi hata kujua hawataki kuijua hata kwenda kumuuliza CHAT GPT.

UNAJUA KWANINI? Dunia haimpi nafasi Mtu Mzembe yaani upigwe kamba Kali tukupe na Kiki ya kukutaja? The Corporate world works differently from streets, Washindi ndio wanatajwa hivyo waendelee kusonya😀

NARUDIA k**a sio brand yetu hatukupeleki Dunia, tukimaliza na hili tutawasaidia kuipush clip yenu ifike hata Boda ya Sirari kuelekea Kenya hapo.

Duke Abuya  ANANIFANYA NI-ENJOY SANA KUCHEKI GAME ZA YANGA Young Africans Sports Club
03/05/2026

Duke Abuya ANANIFANYA NI-ENJOY SANA KUCHEKI GAME ZA YANGA Young Africans Sports Club

🚨 They said he was finished… they were wrong.This moment was insane (Mini acrobatic)🔥....Chama anazeeka na itamu wake
03/05/2026

🚨 They said he was finished… they were wrong.

This moment was insane (Mini acrobatic)🔥....Chama anazeeka na itamu wake

Prince Dube... leo ame cheza game bora sanaaa, toka anze kuva jezi ya Yanga leo ndio ame kumbusha vile alivo zoea kuwafa...
03/05/2026

Prince Dube... leo ame cheza game bora sanaaa, toka anze kuva jezi ya Yanga leo ndio ame kumbusha vile alivo zoea kuwafanya Simba akiwa Azam Fc.

Kwanza amefunga goli la kuwarudisha Wananchi mchezoni, then aka win mpira hewani mbele ya walinzi wakubwa ( Ture na De Reuck) mpira ulio temwa na Kasali likatokea goli la Nondo🔥

Na kwa movement zake ali karibia kufunga goli la 3 katika nafasi alio tengenezewa na Pacome 🙌

Prince leo amesumbua sana line ya ulinzi ya Mnyama.

Address

Mbeya

Telephone

+255747506166

Website

https://www.instagram.com/brother_ben5?igsh=YXNvOWV0Z2s1Z3B4

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ben Azam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ben Azam:

Share