Midnight graphics

Midnight graphics Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Midnight graphics, Digital creator, Mbeya tz, Mbeya.

"💻 IT Student | 🎨 Digital creator | Winner 🏆 3 Awards



Exploring the world of technology while turning creative ideas into captivating visuals.

Leo nimepata nafasi ya kutimiza wajibu wangu k**a Waziri wa Habari, Mawasiliano na Ubunifu SUZASO, kwa kuwasilisha chang...
06/05/2026

Leo nimepata nafasi ya kutimiza wajibu wangu k**a Waziri wa Habari, Mawasiliano na Ubunifu SUZASO, kwa kuwasilisha changamoto na maoni ya wanafunzi wa SUZA mbele ya Rais wa Serikali ya Wanafunzi, Ndg. Asia Ramadhan Khamis.

Nikiwa ninawakilisha Skuli ya Kompyuta Sayansi na Teknolojia ya Habari, nimewasilisha hoja zinazogusa moja kwa moja maendeleo ya taaluma yetu—kuanzia miundombinu ya teknolojia, mazingira ya kujifunzia hadi fursa za ubunifu na ujuzi wa kisasa.

Hii si tu hatua ya kuwasilisha changamoto, bali ni kusimamia sauti ya wanafunzi na kuhakikisha mahitaji yao yanapata nafasi stahiki katika ngazi za maamuzi.

Ninaamini kuwa mawasiliano sahihi ni msingi wa mabadiliko—na ubunifu ni nguvu ya kesho.




Ofisi ya Mbunge Viti Maalum Kundi la Vyuo na Vyuo Vikuu Zanzibar imeandaa kongamano maalum lenye lengo la kuunganisha ub...
18/04/2026

Ofisi ya Mbunge Viti Maalum Kundi la Vyuo na Vyuo Vikuu Zanzibar imeandaa kongamano maalum lenye lengo la kuunganisha ubunifu na fursa kwa wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu.

Mimi Hamidu Nchalikwao Waziri wa Habari Mawasiliano na Ubunifu SUZASO, Idara ya Habari Ofisi ya Mbunge viti Maalumu vyuo na Vyuo Vikuu zanzibar

Nitashiriki ☑️

Wanafunzi wote mnakaribishwa kuhudhuria na kushiriki kikamilifu.

📅 24 Aprili 2026
⏰ 03:00 Asubuhi
📍 Dkt. Shein Hall, SUZA Tunguu

Huduma zote ni bure:
🚍 Free Transport
🎟 Free Entry
🍽 Free Lunch & Drinks

mnakaribishwa
kushiriki.

15/04/2026

TEYA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Ubunifu wa SUZASO, Ndg. Hamidu Nchalikwao, ameibuka mshindi wa tuzo ya Rising Star in S...
13/04/2026

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Ubunifu wa SUZASO, Ndg. Hamidu Nchalikwao, ameibuka mshindi wa tuzo ya Rising Star in Science and Technology katika Tanzania Youth Emerging Awards (TEYA).

Hamidu amejizolea sifa kubwa katika tasnia ya ubunifu wa picha (graphics design), ambapo hapo awali aliwahi kushinda tuzo ya Best Graphics Designer Mkoa wa Mbeya, pamoja na Best Graphics Designer SUZASO Awards 2025.

Tuzo hiyo imetolewa kwa kutambua mchango wake katika kukuza ubunifu wa kidijitali, mawasiliano ya kisasa, na uongozi wake ndani ya SUZASO katika sekta ya habari na ubunifu.





"Napenda kutoa shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZASO) ...
30/03/2026

"Napenda kutoa shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZASO) kwa kuniamini na kuniona nafaa kuendelea kuitumikia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Ubunifu. Ni heshima kubwa na motisha ya kuendelea kutoa huduma bora."
asiaheart

suzatunguu

22/03/2026
Imekua ni Heshima kubwa na Historia kuandikwa Viongozi kutoka Serikali za Wanafunzi Vyuo MbaliMbali Mbali Tanzania Bara ...
03/02/2026

Imekua ni Heshima kubwa na Historia kuandikwa Viongozi kutoka Serikali za Wanafunzi Vyuo MbaliMbali Mbali Tanzania Bara na Visiwani Kuonana ,kwa Ajilibya Tulio Maalumu la Semi Final ya Inter University Talents Competition season 03 .

Kulia ni Waziri wa Habari na Mawasiliano Serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu Cha Taifa Zanzibar SUZA Mhe.Hamidu Nchalikwao.(SUZASO).

Anaefuata ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu Cha Afya Muhimbili Mhe.Nzengwa Mahela (MUHASSO).

Anaefuata ni Makamu wa Rais Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Usafirishaji Tanzania NIT Mhe.Halima Mbaruku Masoud .m.masudi (SONIT).

Lakini pia Kulia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo cha KCMC .

Hakika INTERUNUVERISTY TALENTS COMPETITION ✨


Ni Jambo la kujivunia na la Kihistoria ✍️



@kcmcuniversity

Hongera sana  BEST PRESENTER OF THE YEAR Zari Awards 2025
03/02/2026

Hongera sana
BEST PRESENTER OF THE YEAR
Zari Awards 2025

Hongera sana  Kazi nzuri Keep Going on Brother.
03/02/2026

Hongera sana Kazi nzuri Keep Going on Brother.

Imekua Goodtime na Furaha sana Kumpokea MC wa Taifa .o.n  Ndani ya Visiwa vya Marashi ya Karafuu.HUBBY WELCOME TO ZANZIB...
04/01/2026

Imekua Goodtime na Furaha sana Kumpokea MC wa Taifa .o.n Ndani ya Visiwa vya Marashi ya Karafuu.

HUBBY WELCOME TO ZANZIBAR 😄

 m.masudi
04/01/2026

m.masudi

Address

Mbeya Tz
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Midnight graphics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share