
03/08/2025
Matangazo ya moja kwa moja ibada ya hitimisho la mkutano wa vijana A wilaya ya Mbeya kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi.
Ibada hii inafanyika katika ushirika wa Iyunga na inaongozwa Katibu wa wilaya ya Mbeya mch.Nuru Mwamahonje .
Matangazo haya yapo live Kupitia Nuru Mwamahonje tv pamoja na Baraka KMT TV .
Endelea kuwa nasi lakini usisahau kusubscribe, kushare, kulike na kucomment.
Mungu akubariki na Mwanakondoo ameshinda ✊......... Tumfuate ✊
baraka kmt online tv