Mbeyahighlandsfm

Mbeyahighlandsfm 92.5Mhz
Sauti Yako, Wakati Wote!

92.5 MHz Highlands FM Radio Mbeya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯    .ackson            πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
04/07/2022

92.5 MHz Highlands FM Radio Mbeya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

.ackson πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

JIANDAE KUHESABIWA!!
23/06/2022

JIANDAE KUHESABIWA!!

92.5 Highlands FM
12/06/2022

92.5 Highlands FM

Kaa mkao wa kula hii ni 92.5 Highlands FM
30/05/2022

Kaa mkao wa kula hii ni 92.5 Highlands FM

Mbeya Highlands FM tunawatakia kheri ya sikukuu ya Eid
14/06/2018

Mbeya Highlands FM tunawatakia kheri ya sikukuu ya
Eid

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Benard Kibesse,  ametangaza leo Mei 16/2018 kuwa Serikali imeziunganis...
16/05/2018

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Benard Kibesse, ametangaza leo Mei 16/2018 kuwa Serikali imeziunganisha benki za Twiga Bancorp na Benki ya Posta Tanzania (TPB) na sasa itaitwa TPB Bank Plc.

_

β€œSerikali ikiwa ndio mmiliki mkubwa wa Twiga Bancorp imeamua kuimarisha usimamizi na uendeshaji wa benki hiyo kwa kuiunganisha na benki ya Tanzania Postal Bank, ambayo pia kwa sehemu kubwa inamilikiwa na serikali.” Alisema Dkt.Benard Kibesse.

Muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) kuanzia sasa atatumikia kifungo chake nje ya magereza amri iliyotolewa na Mahakama Ku...
14/05/2018

Muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) kuanzia sasa atatumikia kifungo chake nje ya magereza amri iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania.
Ataendelea na kifungo chake akiwa uraiani ila pale atakapoenda kinyume na makubaliano ya kifungo cha nje basi atarudishwa rumande.

repost  .... Usimtafute anaekutafutaLasivyo mutapishana.  Chupa ya soda haitiwi chai  Wala supu haitiwi n**i. Si kwa mvu...
12/05/2018

repost .... Usimtafute anaekutafuta
Lasivyo mutapishana. Chupa ya soda haitiwi chai Wala supu haitiwi n**i.
Si kwa mvua wala jua
Muungwana husubiri manusura. Karibu Jamvini kwenye uwanja Wa wastaarabu tufute husda.
MITIKISIKO_YA_MWAMBAO
MBEYA_HIGHLANDS_FM_RADIO Kachumbali imepata mlaji
si_wa_nchi_hi_mimi
chotara_habari_ya_jiji ....

SUGU YU HURU!Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina Sugu yuko huru kuanzia leo baada ya kumaliza kifungo...
10/05/2018

SUGU YU HURU!

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina Sugu yuko huru kuanzia leo baada ya kumaliza kifungo chake cha miezi mitano gereza kuu Ruanda Mbeya.

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga pia yuko huru kuanzia leo.

DRC: Wizara ya Afya nchini Kongo yathibitisha kuwepo na janga la virusi vya Ebola nchini humo baada ya vipimo vya maabar...
09/05/2018

DRC: Wizara ya Afya nchini Kongo yathibitisha kuwepo na janga la virusi vya Ebola nchini humo baada ya vipimo vya maabara viwili kati ya 21 kukutwa na kirusi hicho.

Uthibitisho baada ya kufanya vipimo vya maabara kwa wagonjwa 21 walioonyesha dalili za ugonjwa huo.Wagonjwa hawa walitoka eneo la Ikeke Impenge karibu na mji wa Bikoro. -

Shirika la Afya Duniani (WHO) kupitia ukurasa wake wa mtandao wa jamii wa Twitter limekiri kupokea taarifa hizo kuhusu Ebola nchini Kongo. -

Ikumbukwe kuwa ugonjwa unaoletwa na virusi vya Ebola hauna tiba na kirusi hiki kiliua zaidi ya watu ,11,000 mwaka 2013-2016 huko Afrika Magharibi.

Wiki hii katika makala ya Haba na Haba
08/05/2018

Wiki hii katika makala ya Haba na Haba

Address

Jacaranda/Sisimba Street
Mbeya
1440

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbeyahighlandsfm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbeyahighlandsfm:

Share

Category

Sauti Yako,Wakati Wote

Kila Jumatatu hadi Jumapili utaburudika na habari na mada mbalimbali zinazogusa jamii yetu pamoja na muziki. Utapata yote haya kwenye masafa ya 92.5, Highlands FM, redio pendwa Nyanda za Juu Kusini.