Nafasi ZA KAZI

Nafasi ZA KAZI Ajira ni ngumu kupatikana,kupitia hapa utapata kusikia nafasi mbali mbali zikitangazwa.MDA WOTE PITIA UKURASA HUU HAPA UAJIRIWE.

Nafasi za kazi hizo hapo 500Jitahidini kufatilia deadline ni trh 1 june
28/05/2021

Nafasi za kazi hizo hapo 500

Jitahidini kufatilia deadline ni trh 1 june

Wenye vipaji vya utangazaji            (DAR BIG AUDATION) kazi ni utangazaji  mtu mwenye kipaji nafasi ndio hii ya kucha...
27/05/2021

Wenye vipaji vya utangazaji
(DAR BIG AUDATION)
kazi ni utangazaji mtu mwenye kipaji nafasi ndio hii ya kuchangamkia fuata maelekezo haya

Ingia instagram kuchukua form kupitia

Mchuano utaanza saa 2 asubuhi

Mahali:Mbezi beach kibao cha shule Karibu na kiramuu hall

Kumbuka zimebaki siku 2 tu Mchuano ni may 29 (jumamosi)

Taarifa kwa wakazi wa mbeya
27/05/2021

Taarifa kwa wakazi wa mbeya

Ndugu zake wanatafutwa
Anaitwa Frank kibona amefia Tanga na ndugu zake hawajurikani, ikipita siku 6 ndugu zake wasipopatikana basi atazikwa na halmashauri watu wa ileje tusaidianeni kupeana taarifa kwenye ma group mbalimbali

PRODUCTION SUPERVISOR kiwanda kinachojihusisha na utengenezaji wa maji kinatafuta mtu haraka.SIFA ZA MWOMBAJIAwe bachelo...
14/04/2021

PRODUCTION SUPERVISOR

kiwanda kinachojihusisha na utengenezaji wa maji kinatafuta mtu haraka.

SIFA ZA MWOMBAJI
Awe bachelor in food processing/Chemical
Awe na uzoefu miaka 5
Awe ameshawahi kufanya kazi katika kiwanda cha vinywaji au maji

Tuma cv kwenda
hr.kisimawater.com

ShukraniTunawashukuru wadau mnaozidi kuuchagua ukurasa wetu na sasa tumefikia 14000+.tunawahidi kuendelea kuwaletea nafa...
06/03/2021

Shukrani
Tunawashukuru wadau mnaozidi kuuchagua ukurasa wetu na sasa tumefikia 14000+.tunawahidi kuendelea kuwaletea nafasi zaidi za kazi kadiri zitavyojitokeza. Kwa maoni na ushauri tafadhali usisite kutuandikia inbox

02/03/2021

Fundi Ujenzi
Anatafutwa Fundi Ujenzi Kwa Ajiri Ya Ujenzi Wa Kiwandani Kazi Ni Ya Kutwa.
Malipo 20000 kwa siku.piga 0719848528
kwa maelezo zaidi

04/02/2021

Saluni musoma

Wanahitajika wadada watatu
Umri miaka 20-27

Mwenye kuhitaji anicheki inbox

FURSA KUTOKA TTCL
04/02/2021

FURSA KUTOKA TTCL

Nafasi za kazi
31/01/2021

Nafasi za kazi

14/12/2020

Mgahawani dodoma

Ewe mkazi wa Dodoma anahitajika muhudumu wa kuuza mgahawa Maeneo ya darajani Maili mbili
Piga 0742117461 kwa maelezo zaidi

MADAKTARI NA WAUGUZI
20/11/2020

MADAKTARI NA WAUGUZI

Address

Mbeya

Opening Hours

08:00 - 17:00

Telephone

+255679393461

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nafasi ZA KAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share