Injili Ya Yesu kwa Watu Wote

Injili Ya Yesu kwa Watu Wote Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Injili Ya Yesu kwa Watu Wote, Digital creator, mlowo dispensar, Mbeya.

24/03/2025

Ukimpenda Mungu naye atakupenda milele

Dhambi ni uasi usikubali ikutawale maana matokeo yake ni mauti umeelewa
10/03/2025

Dhambi ni uasi usikubali ikutawale maana matokeo yake ni mauti umeelewa

Kwa Nini umepanga ujiue kwa Sababu ya mateso ama magonjwa ninalo neno na wewe kwamba Mungu hawezi kukuacha usiache utumi...
06/03/2025

Kwa Nini umepanga ujiue kwa Sababu ya mateso ama magonjwa ninalo neno na wewe kwamba Mungu hawezi kukuacha usiache utumishi wewe ,usiache ibada ,maana wewe ni baraka mbele zake mkumbukee Ayubu alipokuwa yupo katika shida Bado Mungu akumuacha mshikilie daima Yesu hawezi kuacha daima

Mungu awezi hawezi kumsahau mtu anayemwamini na kumtumaini daima maana wewe ni dhahabu nzuri Ambayo amekugharamikia daim...
06/03/2025

Mungu awezi hawezi kumsahau mtu anayemwamini na kumtumaini daima maana wewe ni dhahabu nzuri Ambayo amekugharamikia daima

Mungu ni mwaminifu daima
05/03/2025

Mungu ni mwaminifu daima

Address

Mlowo Dispensar
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Injili Ya Yesu kwa Watu Wote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share