Josia mwenga stories

Josia mwenga stories Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Josia mwenga stories, Publisher, Mbeya.

26/05/2019

CHOMBEZO FUPI
Chombezo: imani dhaifu
mtunzi: josia mwenga
PART ONE
kuna kijana mmoja alikuwa anaitwa Chris Alikuwa anajixhughulixha na biaxhara ndogo ndogo lakni pia katika maixha yake hakumuxahau Mungu.
kila xiku alipokuwa anaenda kulala hakuacha kumuomba MUNGU alizoea kuxema baadhi ya maneno kila anapoomba kwa MUNGU.Maneno yenyewe aliyokuwa anayaxema ni haya:-
Eeh MUNGU Naomba uendelee kunilinda usiku huu uniwezexhe niendelee kuwa xalama ni kwa uwezo wako napenda kukuxhulu amin.
hiyo xala alikuwa k**a vile ameikalili hivyo kila xiku alikuwa anaongea hayo maneno.kadili xiku zilivyokuwa zinaenda alipunguza imani.baada ya xiku kwenda aliacha kabixa kuomba ikifika mida ya kulala alikuwa akixema "SIR GOD K**A KAWAIDA YETU" Akiwa maana kuwa k**a anavyoxemaga.
siku moja usiku akiwa amelala alichukuliwa na wachawi na alipotaka kuamuka alixhangaa yupo.....!!!

23/04/2019

Kalibu kwenye page yangu naomba ushilikiano wenu wadau (tulike pamoja na kushare) pia upo free kuuliza swali lolote utajibiwa. KALIBU SANAA

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Josia mwenga stories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category