27/11/2019
Hii Ni Picha Mpya Kali ya Mrembo wetu Mkali Kutoka Tanga Anayemiliki Hit Song ya 'CHEKECHA' Na Inafanya Vyema Mpaka Sasa Huko, Youtube Na Unaweza Kusubscribe na Kuendelea Kuitazama, pia Kufurahia Wimbo Mzuri.
Sasa Tuangazie Aljvyopendeza Katika Picha Hii, Na Kavalishwa na | Hapo, Weka Neno Lako Rangi yake na Vazi lake, ni Moto Kwa Asilimia 100% Hakika Divana Amependeza Sana. Ameng'ara na Kuvutia Wengi Sana.
LuLudiva Ilikuwa Aje Iringa KatiKati ya Mwaka Huu, Ila Anaweza Kuja Msimu wa XMASS/NEW YEAR, Na Jambo Usilojua Ni Kwamba Am working With LuLudiva, She is such a Boss.
____________________________
Subscribe On YouTube And Watch THE BRAND NEW VIDEO WORLD WIDE ' Chekecha' By | ! link on her BIO.
Wrritten By