Fresh Gardens And Finehearts

Fresh Gardens And Finehearts Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fresh Gardens And Finehearts, Digital creator, Mkuranga.

FRESH GARDENS AND FINEHEARTS

Dairy farming and gardening,we produce fresh vegetables and also milk from our farm,we also supply our customers every day with the best products from the farm.

22/12/2024

Mifugo bila malisho utakua unawatesa,vema ukajipandia malisho yako kuliko kijipa adha isuo na ulazima

Shambani Outlet is our garden shop where we sell our farm produce..reach out to us on these numbers through regular call...
21/11/2024

Shambani Outlet is our garden shop where we sell our farm produce..reach out to us on these numbers through regular calls or WhatsApp
+255 717110000 and +255 7494 10000
And you'll be in contact with Mwasimba Mpoki

01/10/2024
01/10/2024

Kipi kina faida kuuza mahindi mabichi au mahindi makavu kwajili ya unga?

24/09/2024

Sio mchezo hii..k**a unavijana wazembe wavivu hufiki popote ila ni njia rafiki sana kwa mkulima mdogo mdogo

04/09/2024

Kilimo ni ajira Mwasimba Mpoki

24/04/2024

Pandeni malisho msimu huu wa mvua hizi hamtojutia zikipita hizi ambao bado mtajutia kwanini hamjapanda yewezekana tusipate tena kipindi kizuri chenye unyevunyevu na maji ya kutosha k**a sasa.

02/01/2024

Panda Malisho shambani kwako ewe mfugaji

29/12/2023

Hivi unajua?
Ufugaji wa ng'ombe na mbuzi ili ukufaidishe ni lazima uwe na malisho..lakini wafugaji wengi wanalipuuzia hili na huja kuwa gharimu kipindi cha kiangazi..

  It's beautiful here with the lashy green
12/12/2023


It's beautiful here with the lashy green

09/11/2023

Majani ya aina ya brachiaria wakati wa kiangazi na wakati wa mvua
Mwasimba Mpoki

Address

Mkuranga
9123

Opening Hours

Monday 06:30 - 21:00
Tuesday 06:30 - 21:00
Wednesday 06:30 - 21:00
Thursday 06:30 - 21:00
Friday 06:30 - 21:00
Sunday 06:30 - 21:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fresh Gardens And Finehearts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share