Kwemdimu Fema Club

Kwemdimu Fema Club Kwemdimu fema club offers students activities like sex education, health, keeping environment, discuss hot topic,reads fema magazine, sports and games etc.

Ukitoa neno samahani ni neno gani lingine gumu kutamka.
28/10/2025

Ukitoa neno samahani ni neno gani lingine gumu kutamka.

09/04/2025

Ni chakula gani ambacho ni rahisi kuruka?
1. Kifungua kinywa
2. Chakula cha mchana
3. Chakula cha jioni

Weekend ndo iyo k**a kijana huwa unafanya nini?
29/03/2025

Weekend ndo iyo k**a kijana huwa unafanya nini?

02/12/2022

Tutawakumbuka pia byeeee

Kila la kheri wahitimu Kwemdimu Fema Club 2022 tunawatakia maisha mema muendapo na muwe mabalozi bora kwenye kuleta maen...
02/12/2022

Kila la kheri wahitimu Kwemdimu Fema Club 2022 tunawatakia maisha mema muendapo na muwe mabalozi bora kwenye kuleta maendeleo katika maeneo mtakayokwenda.

Kila la kheri Kwemdimu Fema Club 2021
09/12/2021

Kila la kheri Kwemdimu Fema Club 2021

Ni wakati wa kubukua umewadia we are ready kupata lishe ya akili.
09/01/2021

Ni wakati wa kubukua umewadia we are ready kupata lishe ya akili.

12/12/2020

Kwa kheri ya kuonana wahitimu wote Kwemdimu Fema Club 2020 hakika mmekua mabaloz wazuri wa club mkayafanye yote katika jamii zenu ili kuleta maendeleo

Kwemdimu Fema Club Korogwe Tanga katika kuwaaga form four 2020 tunawatakia kila la kheri huko muendako na mkayafanye yot...
12/12/2020

Kwemdimu Fema Club Korogwe Tanga katika kuwaaga form four 2020 tunawatakia kila la kheri huko muendako na mkayafanye yote ambayo tulikua tunafanya clubuni katika maisha yenu pia.

Kila la kheri wahitimu Kwemdimu Fema Club 2020 hii ni jana baada ya kukabidhiwa vyeti na mkuu wa shule
12/12/2020

Kila la kheri wahitimu Kwemdimu Fema Club 2020 hii ni jana baada ya kukabidhiwa vyeti na mkuu wa shule

15/04/2020

Ukihisi rafiki yako ana matatizo utamsaidiaje?

https://www.facebook.com/130198463714255/posts/3223363857731018/
09/04/2020

https://www.facebook.com/130198463714255/posts/3223363857731018/

CHUKUA HATUA: Kwa kufahamu umuhimu wa kujitolea, kuna walimu ambao wameamua kujitolea kufundisha masomo ya sekondari Kwenye kituo cha Television cha Channel Ten na Azam Extra Channel 100. Masomo ya kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Kwa Azam mapindi yanaanza saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Kwa Channel Ten nimesahau muda, hebu tukumbushane kidogo... Haya sasa, watoto waache kuzurura na kuangalia series muda wa masomo!

Address

Mkumbara
Mombo

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

0713758596

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwemdimu Fema Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kwemdimu Fema Club:

Share