
07/05/2025
Tarehe 15 mwezi wa 5 ni Birthday Party ya Director Chazrey itakayo fanyika pale mtoni Bar Kilakala, Wasanii kibao watakuwepo k**a unavyoona cover inavyojieleza pamoja na surprise kibao hii sio ya kukosa karibu kwa mtonyo wa kiasi cha buku mbili tu 2,000/=