16/12/2025
BWANA YESU ASIWE WATUMISHI WA MUNGU LEO TAREHE 17DEC 2025 MTUMISHI WA MUNGU NABII TENGWA ATAKUWA NA PRESS CONFERENCE NA WAANDISHI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI MKOANI MOROGORO KUANZIA SAA 08:00 MCHANA. AKIZUNGUMZA NAO JUU AGENDA YA KITAIFA AMBAYO MUNGU AMEMPA KUSIMAMA NAYO KATIKA MSIMU HUU