Kijoka Music Records

Kijoka Music Records Kijoka Music Records Label Okoa sana kwa vijana ili kutimiza ndoto zao

24/05/2022

Lika ComedianTunaomba sapot yako ndgu kusubscribers na kushare na kucomment ili uweze kuendelea kupata video mpya kila wiki utafikiwa na comedy kali zenye ku...

14/05/2022

SUBSCRIBE

with my artists in the picture together i love them so much and they know how to play movies please expect work from the...
14/05/2022

with my artists in the picture together i love them so much and they know how to play movies please expect work from them Lika comedian
nikiwa na wasanii wangu kwenye picha ya pamoja nawapenda sana na wanajua kucheza movie naomba mtarajie kazi kutoka kwao Lika comedian
go to youtube now search Lika Comedian To find their work
nenda youtube sasa tafuta Lika Comedian Kupata kazi zao

Wasanii Walika Comedian Wakiwa kaitika maandalizi ya kuwaletea kazi iv karibuni so kaeni mkao wa kula Furaha iliyo njema...
07/05/2022

Wasanii Walika Comedian Wakiwa kaitika maandalizi ya kuwaletea kazi iv karibuni so kaeni mkao wa kula
Furaha iliyo njema ni amani kwa mungu amini kila aombae kamwe awezi kuachwa na mungu imani ujenga tuko njiani twawaomba mtuombee ili tutimize malengo

Muubyte Ft kijoka music Mungu YupoNgoma tayali tumiachia Nenda YouTube sasa search Kijoka music RecordsIli kusikiliza mz...
09/04/2022

Muubyte Ft kijoka music Mungu Yupo
Ngoma tayali tumiachia
Nenda YouTube sasa search Kijoka music Records
Ili kusikiliza mziki mzuri

Produced By kijoka music

02/10/2021

Studio KIJOKA MUSIC RECORDS Inakuletea OFFA kabambe ya KURECORD Wimbo wowote uupendao uwe COVER (REMIX)Au OFFICIAL Utarekodi kwa Bei PUNGUFU Kutokana na KUPATIWA Offa hio....Itaanza leo 26 MPAKA Tarehe 1 itakuwa MWISHO Kwahio wahi mapema MOROGORO MANYUKI KIBAONI Namba 0788674657 Mapeeema.

OKOA SANAA  OKOA SANAA  OKOA SANAAKatika Maisha Kila Mtu Anapenda Kutimiza Malengo Yake Katika Maisha Yake Kijoka Music ...
14/09/2021

OKOA SANAA OKOA SANAA OKOA SANAA
Katika Maisha Kila Mtu Anapenda Kutimiza Malengo Yake Katika Maisha Yake Kijoka Music Records Imejitolea Kuinua Vipaji Na Ndoto Za Watu Wenye Malengo Katika Sanaa Ya Muziki&Uigizaji Kijoka Music Records Imeanzisha Kampeni Ya OKOA SANAA Ili Kutimiza Ndoto Zako K**a Unakipaji Chakuimba Kuigiza Unakalibishwa Kujumuhika Na OKOA SANAA ili Kutimiza Ndoto Zako Amini Ukiwa Na Mawazo Ya Kukatishwa Tamaa Kamwe Uwezi Kuinuka Ulipoanguka
UNAWEZA WASILIANA NASI KWA NAMBA +255 786 489 496
KWA MAELEZO ZAIDI

K.B Ni msanii kutoka katika label ya KIJOKA MUSIC RECORDS anakuletea ngoma Kali Sana So soon tunakwenda kuiachia tunaomb...
18/08/2021

K.B Ni msanii kutoka katika label ya KIJOKA MUSIC RECORDS anakuletea ngoma Kali Sana So soon tunakwenda kuiachia tunaomba Sapoti yenu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Yeyoooooo link kwa chini,hii sio ya kukosa  https://youtu.be/DXlO2IeTtZY Artist:Dully Washoo Black  Mambo ni๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๏ฟฝ๏ฟฝaachia ...
26/07/2021

Yeyoooooo link kwa chini,hii sio ya kukosa



https://youtu.be/DXlO2IeTtZY

Artist:Dully Washoo Black Mambo ni๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๏ฟฝ๏ฟฝaachia Bongo Flavour mkwaju mpya ambao unaitwa WATOTO WANGU Ngo
ma kali kinyama fanya...
Imedhaminiwa na STARDOM FILM & KIJOKA MUSIC.

๐™ฅ๐™ง๐™ค๐™™๐™ช๐™˜๐™š๐™™ ๐™—๐™ฎ ๐™ _๐™—๐™š๐™–๐™ฉ๐™จ_๐™๐™ฏ

26/07/2021
14/06/2021

KARIBUNI Tupo Manyuki kibaoni tunarekodi nyimbo aina zote kwa bei poa kabisa

30/05/2021

Najua unaweza kuimba ila mtu wa kukusapot kimawazo ajawai tokea na unatamani Sana kutimiza ndoto yako ya kurecord Sasa yaweza timia ukifika kijoka music records ulekodi ngoma Kali kwa bei sawa na bure tunafanya ivyo ili kutimiza malengo yako

21/05/2021

Fika kijoka music records ili utimize ndoto kwa Mawasiliano piga 0786489496

19/05/2021

0786489496

Tunatoa Ofa ya KUREKODI Nyimbo kwa Bei Poa Tupo MANYUKI Kibao Cha Shule MOROGORO.

0786489496

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijoka Music Records posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kijoka Music Records:

Share

Category