kijijini_kwetu

kijijini_kwetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from kijijini_kwetu, Video Creator, 650 ifakara, Morogoro.

07/09/2024
Mei mosi 2024
01/05/2024

Mei mosi 2024

Hatimae nimekipata 😆 😂 🤣
26/02/2024

Hatimae nimekipata 😆 😂 🤣

Mtu mwenye busara aliwahi kusema, kinachomshangaza zaidi juu ya wanadam ni kwamba tunachoshwa na msukumo wetu wa ukuaji ...
08/02/2024

Mtu mwenye busara aliwahi kusema, kinachomshangaza zaidi juu ya wanadam ni kwamba tunachoshwa na msukumo wetu wa ukuaji utotoni na kuwa watoto tena, tunapoteza afya zetu kutafuta pesa na tunapoteza pesa kwa kurejesha afya zetu. Tunafikiria kwa wasisi juu ya wakati ujao tunasahau wakati wa sasa hivi, hatuishi katika wakati uliopo wala wakati ujao. Tunaishi kana kwamba hatutakuja kufa na kufa kana kwamba hatujawahi kuishi kamwe.

Blood
18/01/2023

Blood

Sio rahisi kutambua thamani ya mwanga k**a hujawahi kuwa katika kiza kinene
05/09/2022

Sio rahisi kutambua thamani ya mwanga k**a hujawahi kuwa katika kiza kinene

Usitikise meza ya Keki na Vinywaji, utaharibi sherehe
20/08/2022

Usitikise meza ya Keki na Vinywaji, utaharibi sherehe

Address

650 Ifakara
Morogoro
1234

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kijijini_kwetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category