15/09/2025
BALAA LA WANACHAMA WA SIMBA TAWI LA SIMBA ASILI ITIGI WACHANGIA DAMU KUSAIDIA WAGONJWA .
wanachama wa simba tawi la simba asili itigi wameendelea kurudisha tumaini kwa jamii baada ya kuchangia damu ili kusaidia wagonjwa wenye uhitaji katika eneo hilo.
wanachama hao pamoja na mashabiki hao hufanya shughuli mbalimbali kila mwaka katika kusherekea simba day katika eneo hilo la itigi mkoani singida