GAIRO FILMS MEDIA

GAIRO FILMS MEDIA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GAIRO FILMS MEDIA, Media/News Company, Gairo, Morogoro.

πŸ“’ TUNAOMBA RADHI WAPENZI WETU πŸ™β€οΈKutokana na changamoto zilizojitokeza, tumelazimika kuchelewa kuachia EPISODE YA 02 ya ...
24/06/2026

πŸ“’ TUNAOMBA RADHI WAPENZI WETU πŸ™β€οΈ

Kutokana na changamoto zilizojitokeza, tumelazimika kuchelewa kuachia EPISODE YA 02 ya series yetu hii mpya.

Lakini habari njema ni kwamba, leo saa 7:00 mchana episode hiyo itakuwa hewani rasmi kwenye YouTube Channel yetu! 🎬πŸ”₯

Asanteni sana kwa uvumilivu, sapoti na upendo wenu mkubwa. Kasi itaendelea k**a kawaida, na tunaahidi kuendelea kuwapa burudani bora zaidi. β€οΈπŸ™

Mungu awabariki sana! 🀲✨

05/03/2026

MCHAWI WA GAIRO

08/01/2026

KIBERITI EP 02

γ‚š

KIBERITI VERSION 02
05/01/2026

KIBERITI VERSION 02

04/01/2026

KIBERITI EP 01

γ‚š

HABARI SHABIKI YETU!Wapendwa wapenzi na wafuatiliaji wa series yetu ya KIBERITI. Kwanza natoa shukran πŸ™ πŸ™ zangu za dhati...
24/12/2025

HABARI SHABIKI YETU!

Wapendwa wapenzi na wafuatiliaji wa series yetu ya KIBERITI. Kwanza natoa shukran πŸ™ πŸ™ zangu za dhati kwenu kwa kuendelea kutusaport kisawa sawa na kuifanya series yetu kuendeleea kungaa'aa, tunafurahia msaada wenu kwetu na kuwa sehemu ya maisha yetu 😊

Pia tunaomba radhi kutokana na πŸ’‘ Changamoto ndogo zilizo nje ya uwezo wetu zilizo sababisha kuchelewesha EP 06 kwa siku mbili mfululizo, lakini bado hamna kilicho halibika. leo tuna furaha kubwa kuwajulisha kuwa
🎬 KIBERITI | EPISODE 06 ipo tayari kwa kuiachia!

⏰ Leo tar 24 saa 1 jioni: EPISODE 06 tutaiachia kwenye channel yetu.

K**a bado hujatizama episode zilizopita gusa link hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

https://youtu.be/hEoPrHTtS7M?si=9Z7J-W9jmpJPhTvn

πŸ‘‰ Tafadhali subscribe, washa kengele πŸ””, share na marafiki ili kuendelea ku-support series ya KIBERITI na GAIRO FILMS MEDIA!

Address

Gairo
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GAIRO FILMS MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share