EshareApps

EshareApps Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EshareApps, Social Media Agency, .

Job Position: Education Coordinator & TeachersLocation: Mwanza
21/10/2024

Job Position: Education Coordinator & Teachers
Location: Mwanza

Twelve21 Global is seeking a dynamic Education Coordinator to provide strategic leadership across our schools in Tanzania. If you’re passionate about driving academic excellence, leadership, and operational growth while keeping faith at the heart of education, this role is for you. 📌 Key Qualif...

• Unda chapisho kwa kubonyeza "Create New Post" k**a ni mwanachama kumbuka ku-LogIn na k**a sio mwanachama kumbuka ku-si...
06/10/2024

• Unda chapisho kwa kubonyeza "Create New Post" k**a ni mwanachama kumbuka ku-LogIn na k**a sio mwanachama kumbuka ku-signUp

• Shirikisha (share) kwa wengine ili chapisho lako litazamwe kwa wingi

• Ili ulipwe Tsh. 5,000 kwa chapisho moja inatakiwa uwe na watazamaji wasiopungua elfu moja (1,000)

• Idadi ya watazamaji ikitimia njoo inbox kwenye "ChatBox" kisha tutumie link ya chapisho lako na namba ya simu ambayo itatumika kupokea pesa.

• Unda chapisho kwa kubonyeza "Create New Post" k**a ni mwanachama kumbuka ku-LogIn na k**a sio mwanachama kumbuka ku-signUp • Shirikisha (share) kwa wengine ili chapisho lako litazamwe kwa wingi • Ili ulipwe Tsh. 5,000 kwa chapisho moja inatakiwa uwe na watazamaji wasiopungua elfu moja (1,000...

Habari, ukihitaji ujiunge na shule yetu ya mtandaoni jaza form ukiingia eshareup.com/online-school utaona mahali palipoa...
04/10/2024

Habari, ukihitaji ujiunge na shule yetu ya mtandaoni jaza form ukiingia eshareup.com/online-school utaona mahali palipoandikwa "Become a Teacher/ Tutor" ukibonyeza hapo uta-SignIn/ SignUp kuwa member kisha utajaza Application form itakayofunguka.

Wewe k**a mwalimu/ Mkufunzi jiongezee kipato cha kuwafikia wanafunzi mtandaoni. Kazi yako ni kuandaa maudhui ya somo/topic kisha tutayaweka kwenye mfumo na wewe utalipwa kulingana na idadi ya washiriki waliojiunga kujifunza somo/topic yako (hakuna kikomo cha wanafunzi wa kujiunga)

You will learn/ train a different kind of field programs/ topics 100% online (instructions and a test) while other field programs you will be awarded with certificate. Some of our programs are free and others with a little payment.

Karibu ujiunge na shule yetu mtandaoni katika programu mbalimbali. • Muhitaji/ Mwanafunzi (mshiriki) anakaribishwa kujiu...
02/10/2024

Karibu ujiunge na shule yetu mtandaoni katika programu mbalimbali.

• Muhitaji/ Mwanafunzi (mshiriki) anakaribishwa kujiunga katika programu aipendayo (atasomea mtandaoni 100%) na kuna baadhi ya programu muhitimu atapewa cheti.

• Mwalimu/ Mkufunzi unakaribishwa kujiunga katika kutoa huduma.

Kwa msaada zaidi utawasiliana nasi kupitia mawasiliano ambayo utayaona kwenye mfumo wetu baada ya kubonyeza link.

You will learn/ train a different kind of field programs/ topics 100% online (instructions and a test) while other field programs you will be awarded with certificate. Some of our programs are free and others with a little payment.

JOIN LOYALTY DISCOUNT TODAYJiunge na "Loyalty Discount" utapata punguzo la bei (kupakua ramani) kwa kujiunga kwenye prog...
02/10/2024

JOIN LOYALTY DISCOUNT TODAY
Jiunge na "Loyalty Discount" utapata punguzo la bei (kupakua ramani) kwa kujiunga kwenye program + kupakua ramani utazidi kujivunia POINTI ambazo zitakuwezesha kupakua ramani kwa gharama ndogo zaidi ya gharama inayoonekana na ukivuna pointi nyingi zaidi kuna uwezekano mkubwa wa kupakua ramani bure. Karibu sana.

Get a professional house plans. View and download now.

CAF POINTS 2025 (YANGA/ SIMBA)
26/09/2024

CAF POINTS 2025 (YANGA/ SIMBA)

Rejea mwaka 2024: SIMBA ilivuna pointi 39 na YANGA ilivuna pointi 31 (ni kwa kipindi cha miaka 5 kulingana na viwango vya CAF) kwa hiyo mwaka 2025 points zitakuwa k**a ifuatavyo; ________________________________ SIMBA ikiishia hatua zifuatazo itakuwa imevuna points k**a ifuatavyo katika kipindi

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EshareApps posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share