Mahakama Ya Vitambaa tailoring and training

Mahakama Ya Vitambaa tailoring and training HAPASEHEMU HURU YA KUWEKA ODA YAKAZI UNAYOITAJI KUFANYA NA OFISI YETU, NIRUKSA KUULIZA KWA MISINGI Y

Huduma yetu ya whatsap sasa iko vizuri na haraka zaidi tafadhari itumie sasa kwa mawasiliano kwaajili ya shughuli za kil...
17/10/2022

Huduma yetu ya whatsap sasa iko vizuri na haraka zaidi tafadhari itumie sasa kwa mawasiliano kwaajili ya shughuli za kila siku za huduma ya ushonaj

*Habari* Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. *Ni siku ya Sensa* na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu k...
14/08/2022

*Habari*
Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. *Ni siku ya Sensa* na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo Kaya yako isifikiwe hivyo hakuna mantiki ya kupumzika kwa wale wanaofanya vibarua au Kazi za kila siku. Unachotakiwa kufanya ni kuorodhesha na kuandika kwenye karatasi watu wote watakaolala Kwenye kaya yako usiku wa kuamkia siku hiyo
Taarifa muhimu ni pamoja na:
1. Jina kamili (matatu)
2. Jinsia (me/ke)
3. Umri
4.Hali ya ndoa
5. Namba ya simu
6. Namba Nida
7. Taarifa za Elimu
8. Taarifa za hali afya
9. Umiliki wa Ardhi, Majengo, vifaa/rasilimali
10. Taarifa ya Shughuli za Kiuchumi
11. Mengineyo (uraia)

Pamoja na kuacha Taarifa hizo kalani atakupigia simu kuhakiki Taarifa ulizoacha tafadhari toa ushirikiano.

*Mimi niko tayari kuhesabiwa . WEWE je*?

29/07/2022

MAHAKAMA YA VITAMBAA NGERENGERE

UNAIJUA KANUNI YA KUJUA KUSHONA HARAKA NA KUWA FUNDI MZURI?Hii ni kanuni ya kuuliza swali au kujiuliza swali "KWANINI?"K...
15/07/2022

UNAIJUA KANUNI YA KUJUA KUSHONA HARAKA NA KUWA FUNDI MZURI?

Hii ni kanuni ya kuuliza swali au kujiuliza swali "KWANINI?"

K**a unajifunza kwa mwalimu wako iwe online au phisically uwe unamuuliza maswali kwanini hapa hivi? Japo, k**a nae hajui atakuwa mkali.

Usikubali mtu akuambie hapa shuka inchi 2, muulize kwanini nisishuke 5 nishuke 2. Usikubali akuambie we shika tu hivyo, k**a hana jibu usikubali kulala na swali, uuliza hata kwenye magroup na ukikosa majibu fanya majaribio mwenyewe kwa kufanya kinyume na ulichoambiwa, mwishi utapata majibu.

Hivyo hivyo ukiona mshono, jiulize hilo swali kisha hangaika kutafuta majibu. Muda si mrefu utajikuta umejua kanuni nyingi ambazo mafundi wengi hawazijui

Hii cherehan inaunzwa tafadhari tufuate INBOX au whatsap au piga simu KARIBUN
25/06/2022

Hii cherehan inaunzwa tafadhari tufuate INBOX au whatsap au piga simu KARIBUN

Mzigo umesha fika NGERENGERE sasa unaweza kufanya malipo kwa LIPA NAMBA 5025799 huduma hii ni kwa mitandao yote KARIBU T...
20/06/2022

Mzigo umesha fika NGERENGERE sasa unaweza kufanya malipo kwa LIPA NAMBA 5025799 huduma hii ni kwa mitandao yote KARIBU TUKUHUDUMIE kwa maelezo zaidi piga simu au bofya whatsap

03/06/2022

Kuanzia kesho hadi Agosti 22 mwaka huu kutakuwa na baridi zaidi kuliko miaka ya nyuma. Wanaiita Aphelion phenomenon. Kuanzia kesho saa 05.27 tutapata uzoefu wa APHELION PHENOMENON , ambapo Dunia itakuwa mbali sana na Jua. Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari zake. Hii itaendelea hadi Agosti 2022. Tutapata hali ya hewa ya baridi zaidi kuliko hali ya hewa ya baridi iliyotangulia, ambayo itaathiri mafua, kikohozi, upungufu wa pumzi, nk. Kwa hiyo, hebu sote tuongeze kinga kwa kunywa vitamini au virutubisho vingi ili kinga yetu iwe imara. Umbali kutoka kwa Dunia hadi Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita 90,000,000. Hali ya aphelion hadi kilomita 152,000,000. 66% zaidi. 20:29 Pls share kwa familia na marafiki wote

03/06/2022
Eid mubarakah
05/05/2022

Eid mubarakah

Katika mwaka 2022 katka kipindi hiki cha skukuu za pasaka na eiddlfitriPata punguzo la hadi % 20  pale unapo fanya kazi ...
06/04/2022

Katika mwaka 2022 katka kipindi hiki cha skukuu za pasaka na eiddlfitri
Pata punguzo la hadi % 20 pale unapo fanya kazi nasi kwaajili ya familia WASILIANA NASI KWA Mahak**[email protected]
Au tuachie ujumbe INBOX

Jinsi ya kukata suluali maswali ruksa
18/02/2022

Jinsi ya kukata suluali maswali ruksa

28/01/2022
28/01/2022

Habari zenuwadau wetu
Sasa tumeanza kutoa msaada wa setting za cherehan kwa wenye ttzo unaweza kutuandikia kupitia mawasiano yetu

Tumemaliza majukumu yetu mwaka 2021 tukutane 2022kwa uwezo WAMUUMBA MBINGU NA ARDHI
28/12/2021

Tumemaliza majukumu yetu mwaka 2021 tukutane 2022kwa uwezo WAMUUMBA MBINGU NA ARDHI

Tukutane tena 2022
28/12/2021

Tukutane tena 2022

wajibu wetu nikufanya unacho hitaji ktk tasnia hii ya mitindo๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
17/12/2021

wajibu wetu nikufanya unacho hitaji ktk tasnia hii ya mitindo๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›

Weka neno moja katika hii kazi
14/12/2021

Weka neno moja katika hii kazi

Weka neno tafadhari
14/12/2021

Weka neno tafadhari

Address

Morogoro

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:45
Tuesday 08:00 - 21:45
Wednesday 08:00 - 21:45
Thursday 08:00 - 21:45
Friday 08:00 - 12:00
14:12 - 18:15
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 21:00

Telephone

+255718159458

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mahakama Ya Vitambaa tailoring and training posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mahakama Ya Vitambaa tailoring and training:

Share