E-Livestock auction App TZ

E-Livestock auction App TZ eKuku sasa imebadilika na kuwa e-Livestock auction app. Ni ya Kiswahili, na ni bure. Bando lako tu

Ni app mpya na ya kisasa kwa ajili ya kuwaunganisha wafugaji mifugo yote na wanunuzi moja kwa moja kidigitali. eKuku App Tz page is an official page of the said application running on android ecosystem. In its simple form and operation logic, it links poultry farmers to potential buyers of the products. it relieves the pain of looking out for buyers, also relieves the buyer the burden of searching for kukus and eggs

26/01/2025
 -livestock Auction
09/12/2024

-livestock Auction

Kuwa smart zaidi.. Tumia e-Livestock auction App..
24/10/2024

Kuwa smart zaidi.. Tumia e-Livestock auction App..

04/10/2024

Wafugaji ni wengi, wanunuzi ni wengi, ispokuwa hawafahamu namna ya kuwasiliana.. E-livestock Auction App ni kiungo kwa ajili hiyoo.. Karibuni sana

03/10/2024

Mambo yanaenda mbio sana.. Karibuni E-Livestock Auction App TZ.. kila kitu kimerahisishwa, kidigitali Shuran Robert, Justine Mtasiwa

03/10/2024

eLivestock Auction App.. very intuitive, location aware, local language, user-generated..

Habari wadau wa EKuku AppTz.. Napenda kuwashukuru kwa kuendelea kutuunga mkono. Ili kukidhi mapendekezo yenu na wadau we...
27/09/2024

Habari wadau wa EKuku AppTz.. Napenda kuwashukuru kwa kuendelea kutuunga mkono. Ili kukidhi mapendekezo yenu na wadau wengine, tumetengeneza app mpya ijulikanayo k**a https://shorturl.at/RMjWl ambapo mifugo yote na bidhaa zake zitaweza kutangazwa na wanunuzi kufika kutafuta bidhaa husika kwa urahisi zaidi.. iko playstore.. ni bure, ni ya kiswahili na inavutia

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E-Livestock auction App TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share