The Mandai Times

The Mandai Times Uwanja wa Michezo,Siasa,Burudani na Maisha.

Pilato atakayeamua fainali anatoka Kenya anaitwa Dickens Mimisa Nyagrowa.Wasaidizi wake ni Ali Mbwana na Yusuph Shombe k...
28/04/2026

Pilato atakayeamua fainali anatoka Kenya anaitwa Dickens Mimisa Nyagrowa.

Wasaidizi wake ni Ali Mbwana na Yusuph Shombe kutoka Zanzibar huku mwamuzi wa akiba (4th offical) akiwa ni Is-haka Mwalile.

Fainali ni Yanga vs Simba, Aprili 29, 2026.

07/04/2026

Abiud aomba radhi BSS🙌🙌

07/04/2026

Mwamba Katishaa🙌🔥

02/04/2026

Ali Kamwe awakera Simba SC ishu ya Damaro🔥🙌

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupa shauri la klabu ya Simba k...
02/04/2026

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupa shauri la klabu ya Simba kuhusu uhalali wa mchezaji Mohamed Damaro Camara.

Simba iliwasilisha malalamiko mbele ya Kamati hiyo ikipinga uhalali wa usajili wa Camara, kwa madai unaifanya Yanga kuwa na wachezaji 13 wa kigeni badala ya 12.

Klabu hiyo ilidai usajili wake umekiuka Kanuni ya 62(1) ya Ligi Kuu pamoja na Kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).

Kamati katika uamuzi wake, ilisema usajili wa Camara hauna dosari kwa vile habanwi na Kanuni zilizowasilishwa na klabu ya Simba.

Uamuzi kamili wa shauri hilo utatumwa kwa Mlalamikaji ambaye ni klabu ya Simba

31/03/2026

Lengo niwe na watoto 10🔥🙌

31/03/2026

Diamond amewekeza bilioni 1 kwenye KOMASAVA🔥🙌 Part 9

31/03/2026

Diamond amewekeza bilioni 1 kwenye KOMASAVA🔥🙌 Part 8

31/03/2026

Diamond amewekeza bilioni 1 kwenye KOMASAVA🔥🙌 Part 7

31/03/2026

Diamond amewekeza bilioni 1 kwenye KOMASAVA🔥🙌 Part 6

31/03/2026

Diamond amewekeza bilioni 1 kwenye KOMASAVA🔥🙌 Part 5

Address

Msamvu
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Mandai Times posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share