SoccerData

SoccerData Kwa Habari, Makala, Uchambuzi na Takwimu za kimichezo karibu SoccerData.

NATAMANI KILA ANAYEPENDA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU AKISOME HIKI KITABU... *(kwanini?)*Kwa Sababu; Kitakufanya UUTAZAME MP...
29/10/2024

NATAMANI KILA ANAYEPENDA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU AKISOME HIKI KITABU... *(kwanini?)*

Kwa Sababu; Kitakufanya UUTAZAME MPIRA kwa Jicho la Tatu; na hapo ndipo utakapoona Tofauti yako na Mashabiki wengine.

Ni muda wako wa Kulifungua Jicho la tatu Kwa kutumia Kitabu hiki.

LEO NI OFFER DAY; Kitabu nitakupa kwa Shilingi ELFU 5 PEKEE.

Tuma kupitia 0627 532 401 Kisha nitakutumia kitabu PAPO HAPO. Karibu.

UNAHIJIKA KUUJUA MPIRA KWANZA; KABLA YA KUUSHABIKIA...Bila Shaka Umewahi kuisikia hii kauli Mahali; Nipo hapa kukuthibit...
26/10/2024

UNAHIJIKA KUUJUA MPIRA KWANZA; KABLA YA KUUSHABIKIA...

Bila Shaka Umewahi kuisikia hii kauli Mahali; Nipo hapa kukuthibitishia kuwa Kauli hii NI YA KWELI.

Ukitaka Kuondoka kwenye kundi kubwa la SHABIKI OYA OYA , Basi unatakiwa Kuuona mpira katika Picha Nyingine Pana zaidi; Picha hiyo itakufanya Uwe Shabiki Unayeujua Mpira.

Kuujua Mpira kuna RAHA ZAKE; Na Kupitia Kitabu Cha SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA; NAKUAHIDI utaujua Mpira; Utaanza Kuutazama katika "Dimensions" nyingi zaidi.

LIPIA LEO: HALOPESA 0627 532 401 Upate kitabu Chako Papo Hapo...

24/10/2024

HAPPY BIRTHDAY TO ME.

Nachukua Nafasi hii Kuwashukuru Wote Wanaoisapoti SoccerData Katika kazi zake za kila siku BILA KUCHOKA.

Nawashukuru Kwa SABABU bila Ninyi hakuna UCHAMBUZI; Licha ya Changamoto Nyingi tunazokutana Nazo LAKINI Uwepo Wenu Unanifanya niendelee Kupambana.

NI IMANI YANGU KUWA; SoccerData Kiufundi IMEKUONGEZEA MAARIFA YA KISOKA; Leo Kazaliwa MCHAMBUZI MWENYEWE...

JE Ungependa KUNIPONGEZA? NIPONGEZE kwa Njia Hii...

LEO NATOA OFA YA BIRTHDAY YANGU; Kitabu cha SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA nitakuuzia kwa SHILINGI ELFU 5 PEKEE. Namba ni 0627 532 401 Jina Sekwao Mwendi.

Mechi ya Watani imemalizika; Yanga Katoka na Ushindi wa Goli 1 dakika za Jioni.Ushindi wa Yanga Kiufundi ni Matokeo Utaw...
21/10/2024

Mechi ya Watani imemalizika; Yanga Katoka na Ushindi wa Goli 1 dakika za Jioni.

Ushindi wa Yanga Kiufundi ni Matokeo Utawala( Superiority) kwenye Vitu Vinne ambavyo kocha Miguel Gamondi Ameonyesha Kuvitilia Mkazo kwenye kila Mechi.

1. Utawala wa Kinamba/Kiidadi - Numerical Superiority
2. Positional superiority
3. Qualitative Superiority (Mano -a- Mano vs Weak Opposition players)
4. SetPlay

Hapa tunazungumzia Uchezaji Bora Kimaeneo na Uchezaji bora kwenye Mipira iliyokufa na ndio maana hata goli ni matokeo ya SetPlay.

Kwa Upande wake kocha Fadlu Davids; Ameonyesha ni Katili sana kimbinu; ni kocha aliyeshiba mbinu; kilichomuumiza ni Technical aspects ndio maana Simba ikakata Moto dakika za 60.

Simba Bora ni ya kipindi cha kwanza; intensity kubwa ndani ya dakika zote 45,...Game intensity kwa Mnyama Ilishuka kwa kadri dakika zilivyozidi kuyoyoma; matokeo yake ni timu kuelemewa na hadi kufungwa.

Tactical Advancement kubwa kwa Simba ni Ubora wa Smooth buildUp kutokea kwa Mousa Camara; Smoothly mpira ulifikishwa kwa Mavambo na Kagoma Yusuph kwenye Dimba la chini na hadi kumfikia Charles Ahoua, Kibu Denis na Joshua Mutale 'Budo'.

UTAZAME MPIRA KWA JICHO LINGINE KWA KUPATA MAARIFA YA SOKA K**A HAYA KUPITIA KITABU CHETU CHA SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA.

Lipia Leo Upate nakala ya Kitabu chako papo hapo.
0627 532 401 Lipia hapa Ujifunze Mengi ( JINA: SEKWAO MWENDI)

*KUHUSU DERBY*Kila Unaye Muuliza kuhusu Derby Atakwambia *'Derby Haitabiriki; Derby haina Mwenyewe'*... WHY?Msimu huu ni...
17/10/2024

*KUHUSU DERBY*

Kila Unaye Muuliza kuhusu Derby Atakwambia *'Derby Haitabiriki; Derby haina Mwenyewe'*... WHY?

Msimu huu ni wa tofauti sana na Misimu ya Derby Zingine; Derby Zingine Ziliamuliwa zaidi na Ubora wa Wachezaji kuhimili *'Presha ya Mchezo'* , LAKINI MSIMU HUU kitakachoamua Matokeo ni Ubora wa Kimbinu kwa kila timu...

Mtazame Fadlu Davids kuanzia mechi ya Simba Day hadi dhidi ya Coastal Union Utabaini k**a kuna mizizi ya kiufundi anajaribu kuipanda kwa wachezaji ili soka analolitaka lipigwe; Mizizi hiyo inaambata na Mbinu Mujaribu k**a Sapoti.

Moja ya Mbinu zake ni *"Kucheza katika Vipindi vya mpito - transitional play"* na magoli kadhaa ya simba msimu huu ni matokeo ya hiki kinachoitwa *'Transitional Play'*.

KITABU CHA SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA kimechimba kiundani Dhana ya *'Transitional Play'*. Lipia leo Shilingi ELFU 5 Upate nakala yako ili kabla ya derby uwe tayari umeshapata wazo kamili ya kile kinachoenda kutokea kiufundi.

HALOPESA: 0627 532 401 (Sekwao Mwendi)

JUMAMOSI NDIO KARIAKOO DERBY...Yes ni Jumamosi; Simba Atakuwa Nyumbani Kumkaribisha Yanga...Je Wajua Makocha wa Timu Zot...
16/10/2024

JUMAMOSI NDIO KARIAKOO DERBY...

Yes ni Jumamosi; Simba Atakuwa Nyumbani Kumkaribisha Yanga...Je Wajua Makocha wa Timu Zote Wanafanya Nini kwa Sasa?

Bila shaka wameshakusanya Taarifa zote Muhimu kuhusu Wapinzani Wao kwa Lugha ya Kitaalamu tunasema *'Scouting the Opponent'*. Hope Wameshajua ni wapi kuna weakness na wapi kuna Strength...

Wameshajua kwenye *'Buildup'* Mpinzani hupambana kufanikisha kitu gani? vipi kwenye *'Creating Zone'* na Kwenye *'Finishing Zone'*?

Ili kupata *MWANGAZA WA KIUFUNDI* Kabla ya Derby Hakikisha UNAPA NAKALA ya Kitabu cha *Sanaa Ya Kushambulia Kwa Kushtukiza* Kwa Ofa ya 5000/= Pekee.

Lipia leo kwa 0627 532 401

Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza Kunoga,timu vigogo zimeanza kupata ugumu wa Matokea... Simba na Yanga zimepata Ushindi Mw...
30/09/2024

Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza Kunoga,timu vigogo zimeanza kupata ugumu wa Matokea... Simba na Yanga zimepata Ushindi Mwembamba wa Goli 1-0, Azam kalazimishwa Sare Tasa ya 0-0.

Je Kiufundi Kipi kimetokea? Kaa karibu na SoccerData; Ongeza Maarifa kwa Kupata Copy ya kitabu cha SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA.

LIPIA LEO, UPATE SOFTCOPY CHAP CHAP.

0710 679 388
0627 532 401
JINA: SEKWAO MWENDI.

JE UTAJUAJE K**A NI SHAMBULIZI LA KUSHTUKIZA?Ili shambulizi liitwe ni la Kushtukiza *"Counter Attack"* ni lazima kuwe na...
26/09/2024

JE UTAJUAJE K**A NI SHAMBULIZI LA KUSHTUKIZA?

Ili shambulizi liitwe ni la Kushtukiza *"Counter Attack"* ni lazima kuwe na *Viashia Vikuu Vitatu*

Moja; ni Muda. Shambulizi la Kushtukiza huwa halipiti Sekunde 18...

Kwenye kitabu cha *Sanaa ya Kushambulia kwa Kushtukiza* Viashiria Vyote Vimeelezewa kiundani lakini pia kuna Mazingira Matatu ya Kutokea kwa Counter Attacks nayo yameelezewa Kiundani.

Pata Kitabu Chako leo ili Ufaidi Madini ya Kiufundi..

SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA.Ni kitabu Cha Kwanza Kutoka SoccerData  Kinachochimba Kiundani Na Kiufundi Jinsi ya ...
24/09/2024

SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA.

Ni kitabu Cha Kwanza Kutoka SoccerData Kinachochimba Kiundani Na Kiufundi Jinsi ya Kuvishambulia VIPINDI VYA MPITO.

Kitabu hiki Kitakupa Uelewa Mwingi wa Soka; Kupitia kitabu hiki Utaanza Kujua Ni kwanini Kocha Fulani Hutumia Mbinu Fulani.

Kitabu hiki Kimesheheni Dhana Mbalimbali za Kiufundi zilizoelezewa Kiundani zaidi kwa kutumia Mifano Halisi kwa Msaada wa Picha na Graphics Mbalimbali; Dhana hizo zitakupa Jicho la Tatu wakati wa Kutazama Mpira, Jicho Ambalo sio kila Mtu Analo.

Kitabu hiki kiko kwenye Mfumo wa SoftCopy na Kinapatikana kwa Shilingi ELFU 10 Pekee. Jipatie Leo Kitabu hiki, Kisha UUNGWE kwenye Kundi Letu la WhatsApp la Kitabu hiki, huko Utapata Ufafanuzi wa Kila kilichoandikwa kila siku.

TIGOPESA: 0710 679 388
HALOPESA: 0627 532 401
AIRTEL MONEY: 0684 096 285

Jina SEKWAO MWENDI.

Lipia Sasa Upate Kitabu Chako PAPO HAPO.

07/05/2024

Address

P. O BOX 45172 DAR ES SALAAM
Morogoro
15101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SoccerData posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SoccerData:

Share