Kidudwe Mc's Entertainment

Kidudwe Mc's Entertainment BURUDANI NDO ZETU

Habari za siku nyingi wana burudani wenzangu,naimani mmezimis sana show za ushehereshaji sasa basi tukutane kwaanzia tar...
22/12/2018

Habari za siku nyingi wana burudani wenzangu,naimani mmezimis sana show za ushehereshaji sasa basi tukutane kwaanzia tarehe 26/12/18,-30 kitaani kwako

Leo nilikua nikisherehesha harusi ya ndugu yetu ally abdully pichani
10/11/2017

Leo nilikua nikisherehesha harusi ya ndugu yetu ally abdully pichani

Kumekucha wadau wangu kesho ntakua mitaa flan hivi nkifanya yangu kusherehesha(MC),karibun sanaa
29/09/2017

Kumekucha wadau wangu kesho ntakua mitaa flan hivi nkifanya yangu kusherehesha(MC),karibun sanaa

14/07/2016

Habarn ndugu zangu katka page hii najua mmemic xna burudan ila msijali muda c mrefu tutakutana kitaan kwako

15/02/2016

Habar za leo ndugu mdau wang katka page hii, nkuombe jambo moja nataka nifike levo za kina mc pilipili ,je nifanye vitu gan mpaka niwe mc wa kitaifa kma wengne walivokua

05/12/2015

msimu wa burudan unaendelea na hz n booking za kaz za wa2 tar07/12,tar12,/12,tar13/12,tar20/12 tar26/12,na tar 27/12, tuombeane uzma na afya tele karbun xna cku na tar kma hzi!!!!Ahsanten wadau wang

18/11/2015

Habar ndug zangu katka page hii mko poa?nhv kesho tarh 19/11/2015 ntakua viunga flan hv vya kidudwe Kuna sherehe pande hzo

10/11/2015

Muda wa sherehee ndo huo unakaribia,Kua Tayari 2naweza kukutana mtaan kwako,umenixoma mdau

29/10/2015

Hongera xna saedy mtengule jana kufanya bonge la show ndan ya ukumb wa kwa tcha omy na ilkua pw xna

23/10/2015

Napenda kuwahaxa jamb 1 kwamba baada ya siasa kuna maisha na shughul za kburudan znaendelea na 2cpo idumisha aman na kuifanya ipotee watanzania 2tatumia muda mrefu xna kuitafuta aman,2we makn xna kwenye uchaguz mkuu wa mwak huu

03/10/2015

Juma3 apa saedy mtengule vs shaban kilyimo kwenye jukwaa moja

03/10/2015

Habar ndugu sang ktk page hii ,n hv mnamo cku ya j3 2takuepo vwanja vya kamkunje camp mm na daddy kwa ajl ya kuhakksha ckku ya kamkunje day inaenda poa xna,KARBUN NYOTE

Address

P. O. BOX 88 MTIBWA
Morogoro

Telephone

0719498807

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kidudwe Mc's Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kidudwe Mc's Entertainment:

Share

Category