Libo Radio on line

Libo Radio on line Libo Radio on line ni radio ya uinjilishaji kwa njia ya mtandao,pia utaweza kusikiliza mahubili na mafundisho ya neno la Mungu.

TAFAKARI FUPI YA IBADA YA KUBARIKI MAFUTA.
05/04/2022

TAFAKARI FUPI YA IBADA YA KUBARIKI MAFUTA.

LIBO MEDIATZ

08/03/2022

habari za muda huu msikilizaji wetu tunakukalibisha katuka matangazo yetu ya kila siku na tunategemea kukufika hapo ulipo vizuri saja pia tunaomba ushilikiano wako sasa tufanikishe matangazo haya ya kila siku msikilizaji wetu wa leo na ubalikiwe sana kwa pamoja muda huu na bila kukosa hapa ndio mwan

27/11/2021
live now
22/10/2021

live now

Listen to Libo Radio Tanzania, Tanzania online radio station.

18/10/2021

libo channel

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, ametoa wito kwa vijana kusoma mafunzo ya ubaharia ili kuunga mkono ju...
06/10/2021

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, ametoa wito kwa vijana kusoma mafunzo ya ubaharia ili kuunga mkono juhudi za Serikali kufikia malengo yake, hususan ya kupanua wigo wa ajira kupitia kazi za kitaaluma na umahiri.

Hayo yamezungumzwa jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri huyo katika ziara yake ya kikazi katika Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI).

Waitara amesema kuwa chuo hicho kilichoanzishwa mwaka 1978 kimepata mafanikio makubwa ya kuwepo kwenye orodha ya vyuo bora vya Shirika la Bahari Duniani tangu mwaka 2003 na hivyo kufanya wanafunzi wanaofuzu mafunzo katika chuo hicho kupata fursa za ajira kwa nchi mbalimbali zikiwemo Kenya, Uganda, Visiwa vya Comoro, Namibia, Burundi, Ugiriki, Singapo na nchi za Falme za Kiarabu na Mashariki ya Kati.

“Nimepata sifa nzuri za wanafunzi waliomaliza kwenye chuo hiki na kwamba elimu inayotolewa hapa ni ya kimataifa na chuo kinaongoza kwa kutoa fursa nyingi za ajira na kutoa mchango mkubwa kwa Taifa”, amesema Naibu Waziri Waitara.

Aidha, Waitara amesema Serikali itaendelea kukiwezesha chuo hicho kwa kuwekeza fedha za kutosha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya kufundishia na ukarabati wa miundombinu ya karakana ya chuo hicho ili kuendelea kuzalisha wataalam wengi zaidi na wenye sifa.

Address

Kola
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Libo Radio on line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Libo Radio on line:

Share

Category